Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana
Wapenzi wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika wameweka wazi mpango wao wa kufunga pingu za maisha mbeleni. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii katika fainali za BSS, wawili hao walisema wana mpango huo japo hawajapanga ni lini. “Yeah ndoa ipo, ipo kabisa, hatuwezi kusema sasa hivi lakini itafika tu muda mzuri wa kufunga […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
Mimi na Aika tulianza kuishi tukiwa na godoro tu — Nahreel
Member wa kundi la Navy Kenzo na mtayarishaji wa muziki, Nahreel amesimulia maisha na mpenzi wake Aika wanayeunda naye kundi hilo.
Kabla ya kuanzisha kundi la Navy Kenzo, wawili hao walikuwa wakiunda kundi la Pah One na wasanii wengine wawili.
“Mimi na Aika tumekutana tukiwa India masomoni, wote tulikuwa tunasomeshwa na wazazi wetu, tumepitia mambo mengi sana tukamaliza shule na tukaja Tanzania,” Nahreel alikiambia kipindi cha Mkasi cha EATV.
“Mimi nikawa nimeajiriwa na Aika akawa...
10 years ago
Bongo529 Dec
New Video: Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID — WCD
10 years ago
Bongo506 Feb
New Music: Nikki wa Pilli Ft Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Jux ,Vanessa — Safari
10 years ago
Michuzi06 Feb
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
9 years ago
Bongo509 Nov
Sina mpango wa kuzaa kwa sasa — Aika
Member wa kundi la Navy Kenzo, Aika amesema hana mpango wa kuwa mtoto kwa sasa.
Aika ambaye ni mpenzi wa producer Nahreel anayeunda naye kundi la Navy Kenzo, aliiambia Radio Five ya Arusha kuwa haitaji mtoto kwa sasa kwa kuwa bado anajipanga.
“Mtoto sasa hivi nitakuwa namtesa kumleta kwenye haya mazingira na mimi ndo nimeanza kutafuta, kujenga muziki wetu,” alisema.
“Ningependa nimlete wakati mambo yangu pia yametulia ili aingie kwenye maisha mazuri. Mtoto akikuta maisha mazuri na yeye...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Nahreel, Haika wanogesha bonanza la uzazi wa mpango
NA MSHAMU NGOJWIKE
WASANII wa kizazi kipya hapa nchini wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Haika, juzi walipagawisha mashabiki katika bonanza la kuhamasisha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mbali na wasanii hao, wasanii wengine ambao walikuwa kivutio kwa mashabiki ni pamoja na Mwasiti, Barnaba na kundi la vichekesho la ‘Vituko Show’ ambapo bonanza hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, likisimamiwa na ‘Marie Stopes...
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Utamaduni wa wanawake kuoana.
11 years ago
GPLMASTAA WABARIKI RAY, CHUCHU KUOANA