Mimi na Aika tulianza kuishi tukiwa na godoro tu — Nahreel
Member wa kundi la Navy Kenzo na mtayarishaji wa muziki, Nahreel amesimulia maisha na mpenzi wake Aika wanayeunda naye kundi hilo.
Kabla ya kuanzisha kundi la Navy Kenzo, wawili hao walikuwa wakiunda kundi la Pah One na wasanii wengine wawili.
“Mimi na Aika tumekutana tukiwa India masomoni, wote tulikuwa tunasomeshwa na wazazi wetu, tumepitia mambo mengi sana tukamaliza shule na tukaja Tanzania,” Nahreel alikiambia kipindi cha Mkasi cha EATV.
“Mimi nikawa nimeajiriwa na Aika akawa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Oct
Mimi na Nahreel ni kama Timbaland na Aaliyah tukiwa pamoja — Vanessa Mdee
9 years ago
Bongo510 Oct
Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana
10 years ago
Bongo529 Dec
New Video: Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID — WCD
10 years ago
Michuzi06 Feb
10 years ago
Bongo506 Feb
New Music: Nikki wa Pilli Ft Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Jux ,Vanessa — Safari
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
11 years ago
GPLMAMA WA MTOTO WA MIAKA MIWILI,ASEMA: ‘HATA MIMI NAPENDA KUISHI KAMA WENGINE’
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
ItakuwajeWatanzania wote tukiwa na mzuka wa Magufuli?
NAPENDA sana jinsi Dk. John Magufuli, Rais mpya alivyaonza kazi kwa nguvu.
Njonjo Mfaume
10 years ago
Habarileo13 Jul
JK: Tumetoka Dodoma tukiwa imara zaidi
MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema chama hicho kimetoka wamoja ndani ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na waliodhani kitasambaratikia hapo, wataula wa chuya.