Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utamaduni wa wanawake kuoana.

Katika mila, desturi na tamaduni za makabila mengi muundo wa familia hasa ndoa hutofautiana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII

DSC_0017 Pichani ni  Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.

Shirika la Ufaransa la Alliance Francaise de Dar es Salaam liliandaa safari ya maonyesho iliyopewa jina “women in Resistance by the talented French photo-journalist...

 

11 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII‏

Picha juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aomba kuoana ndani ya gari la polisi

Caine Hutchings alipendekeza kwa Emily Dukeson nia ya kutaka kuoana naye muda mfupi baada ya gari lake kugonga mti.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana

Wapenzi wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika wameweka wazi mpango wao wa kufunga pingu za maisha mbeleni. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii katika fainali za BSS, wawili hao walisema wana mpango huo japo hawajapanga ni lini. “Yeah ndoa ipo, ipo kabisa, hatuwezi kusema sasa hivi lakini itafika tu muda mzuri wa kufunga […]

 

11 years ago

GPL

MASTAA WABARIKI RAY, CHUCHU KUOANA

Na  Musa Mateja
BAADA ya kuzagaa kwa fununu za chini ya kapeti kuwa mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi na Chuchu Hans kutarajia kufunga ndoa, wenzao wa Bongo Movie wameonesha hadharani kuwa wanaiunga mkono ndoa hiyo na kutoa baraka zao. Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi la kimahaba. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar katika uchaguzi wa viongozi...

 

10 years ago

GPL

KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?

Leo ningependa kuzungumza na wewe msomaji wangu ambaye japokuwa bado hujaoa au kuolewa, unaishi na yule umpendaye, mnapika na kupakua pamoja kwa ahadi kwamba siku zijazo, mtafunga ndoa na kuwa mume na mke halali. Je, kitendo hicho ni sahihi? Kuna madhara gani ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Mila na desturi za Kitanzania, zinaelekeza kwamba mwanaume au mwanamke akifikia umri wa kuoa au kuolewa, hatua ya kwanza ni uchumba rasmi....

 

10 years ago

GPL

KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?-2

Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu mzuri, kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada tuliyokuwa tumeianza wiki iliyopita ilikuwa ikihoji kwamba je, kuna madhara ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Maoni yamekuwa mengi, kila mmoja anasema lake. Wapo ambao wamekubaliana na mimi kwamba si vizuri kuishi pamoja kabla hamjaoana ingawa wapo wengine ambao wamesema ni sawa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lucy Komba na Mzungu wake kuoana Septemba

UVUMI kwamba mwigizaji Lucy Komba kuwa katika mahusiano na mzungu kutoka nchini Denmark, zimedhihirika kuwa ni kweli baada ya wawili hao kupanga kufunga ndoa Septemba mwaka huu. Lucy, muongozaji, mtunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani