Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?

Leo ningependa kuzungumza na wewe msomaji wangu ambaye japokuwa bado hujaoa au kuolewa, unaishi na yule umpendaye, mnapika na kupakua pamoja kwa ahadi kwamba siku zijazo, mtafunga ndoa na kuwa mume na mke halali. Je, kitendo hicho ni sahihi? Kuna madhara gani ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Mila na desturi za Kitanzania, zinaelekeza kwamba mwanaume au mwanamke akifikia umri wa kuoa au kuolewa, hatua ya kwanza ni uchumba rasmi....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?-2

Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu mzuri, kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada tuliyokuwa tumeianza wiki iliyopita ilikuwa ikihoji kwamba je, kuna madhara ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Maoni yamekuwa mengi, kila mmoja anasema lake. Wapo ambao wamekubaliana na mimi kwamba si vizuri kuishi pamoja kabla hamjaoana ingawa wapo wengine ambao wamesema ni sawa...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WASHAURIWA KUPIMA VINASABA VYA SIKOSELI KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO NA KUOANA


 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kulia) akionesha mwongozo wa taifa wa matibabu kwa watu wenye Sikoseli mara baada ya uzinduzi, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Taifa Muhimbili prof. Lawrence Museru leo jijini Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwa na viongozi mbalimbali wa Wizara hiyo pamoja watoto wakionesha mwongozo wa taifa wa matibabu kwa watu wenye Sikoseli mara baada ya...

 

11 years ago

GPL

KUPITISHA RASIMU YA KATIBA BILA UKAWA KUNA MADHARA YAKE

Mwandishi Eric Shigongo WIKI ijayo siku kama ya leo Jumanne, Bunge Maalum la Katiba linatarajiwa kuketi mjini Dodoma kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba kukiwa na wasiwasi kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawataingia kikaoni. Ninachosema ni kwamba Ukawa kukataa kurejea katika vikao vya Bunge hilo kwa kushikilia msimamo wa kutaka ijadiliwe Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Sinde...

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi walizimishwa kuishi pamoja Kenya

Polisi nchini Kenya wamelazimishwa kugawanya vyumba vyao na makonstebo wapya.

 

9 years ago

GPL

DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy, umezidi kuliletea taifa letu heshima. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea kupambana na kazi zangu kama kawaida ili mkono uende kinywani.Nimekukumbuka leo kwa barua kwani kuna jambo nataka nikushauri....

 

9 years ago

MillardAyo

Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi..

Tukiwa tumebakiza masaa machache kabla ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kuelekea mkesha wa mwaka mpya. Katika taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji Advera Bulimba imesema wamejipanga vyema kukabiliana na vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza na kuimarisha ulinzi katika fukwe za bahari na maeneo mbalimbali ya starehe. Taarifa hiyo […]

The post Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi.. appeared first on...

 

11 years ago

Mwananchi

Pamoja na takwimu kuonyesha uchumi wa Tanzania unakua, bado kuna pengo kubwa kati ya maskini na matajiri

Kwa mwaka wa tano mfufulizo, Emmanuel Mhimba amekuwa akiwekeza nguvu nyingi katika kilimo cha mpunga akitarajia mafanikio makubwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utamaduni wa wanawake kuoana.

Katika mila, desturi na tamaduni za makabila mengi muundo wa familia hasa ndoa hutofautiana.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana

Wapenzi wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika wameweka wazi mpango wao wa kufunga pingu za maisha mbeleni. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii katika fainali za BSS, wawili hao walisema wana mpango huo japo hawajapanga ni lini. “Yeah ndoa ipo, ipo kabisa, hatuwezi kusema sasa hivi lakini itafika tu muda mzuri wa kufunga […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani