Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy, umezidi kuliletea taifa letu heshima. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea kupambana na kazi zangu kama kawaida ili mkono uende kinywani.Nimekukumbuka leo kwa barua kwani kuna jambo nataka nikushauri....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Alikiba asema hana chuki na Diamond, ampongeza lakini…’sifikirii kuongea naye’

Wiki Ijayo Alikiba atakuwa mgeni katika kipindi cha runinga cha The Sporah show. Katika promo ya mahojiano yake na Sporah inayoendelea kurushwa kupitia Clouds TV, Alikiba amemzungumzia Diamond Platnumz ambaye huwa inasemekana wana-beef. katika promo hiyo Sporah amemuuliza Alikiba kama Diamond ndiye amechukua nafasi yake kwenye muziki kwa kipindi alichokaa kimya, na majibu yake yanaongeza […]

 

10 years ago

GPL

NI KOSA LENU WADADA, SIYO WANAUME!

MAISHA yanakimbia kuliko treni iendayo kasi. Sasa hivi kama mtu akija na kukuambia habari za mwaka mpya, anasema hivyo kwa mazoea tu, lakini ukweli halisi ni kwamba mwaka umeshakomaa huu, watu wameshasahau kama wiki chache zilizopita, dunia  nzima ilikuwa ikizizima kwa nyimbo za Happy New Year!
Yaaa, mwaka umeshakuwa wa zamani maana hata machungu ya wazazi na walezi kwa ada walizotoa kwa wategemezi wao zimeshaisha uchungu...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkuya: Siyo kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi

Hata hivyo, amsema serikali inaangalia ripoti ya Swiss Leaks ili kuona uhalali wa akaunti hizo za siri.

“Sisi hatujaona kama ni kosa kwa Watanzania kuwekeza fedha zao kwenye mabenki ya nje na wala isionekane kama ni jambo haramu kabisa.

Kama serikali tungetamani wawekeze kwenye benki nchini ili kukuza sekta ya fedha lakini pia hatuwafungi kutowekeza nje,” alisema.

“Tunachofanya ni kuiangalia hiyo ripoti ili kujua ukweli wa taarifa hizo, lakini taarifa hiyo haimaanishi kwamba ni kosa kubwa...

 

10 years ago

GPL

KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?-2

Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu mzuri, kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada tuliyokuwa tumeianza wiki iliyopita ilikuwa ikihoji kwamba je, kuna madhara ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Maoni yamekuwa mengi, kila mmoja anasema lake. Wapo ambao wamekubaliana na mimi kwamba si vizuri kuishi pamoja kabla hamjaoana ingawa wapo wengine ambao wamesema ni sawa...

 

10 years ago

GPL

KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?

Leo ningependa kuzungumza na wewe msomaji wangu ambaye japokuwa bado hujaoa au kuolewa, unaishi na yule umpendaye, mnapika na kupakua pamoja kwa ahadi kwamba siku zijazo, mtafunga ndoa na kuwa mume na mke halali. Je, kitendo hicho ni sahihi? Kuna madhara gani ya kuishi pamoja kabla ya kuoana? Mila na desturi za Kitanzania, zinaelekeza kwamba mwanaume au mwanamke akifikia umri wa kuoa au kuolewa, hatua ya kwanza ni uchumba rasmi....

 

9 years ago

Mwananchi

Kuna umuhimu wa mgawanyo wa madaraka

Wiki hii, Rais Jakaya Kikwete alifanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wawili, kuziba nafasi za Leonidas Gama aliyekuwa Mkoa wa Kilimanjaro na Stella Manyanya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, ambao wote wameacha kazi na kwenda kugombea ubunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Krismasi siyo sherehe pekee

Leo ni siku ambayo imezoeleka kote duniani kwa waumini wa Dini ya Kikristo kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo kwa kuhudhuria ibada na baadaye kuwa na sherehe ambazo kwa kiasi kikubwa huhusisha wanafamilia.

 

10 years ago

GPL

KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO?-2

“Ndugu mwandishi, nakupongeza kwa mada yako nzuri lakini nasikitika kwamba umeandika kwa kuegemea upande mmoja tu. Ni kweli siyo vizuri kupekua simu ya mwenzi wako lakini je, pale unapopekua na kufuma meseji za mapenzi kwenye simu ya mwenzi wako, nani mwenye makosa? Wewe uliyepekua au yeye anayekusaliti?” Nimeamua kuanza kwa staili tofauti leo, huo hapo juu ni ujumbe nilioupata kutoka kwa msomaji wangu mmoja baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani