Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI KOSA LENU WADADA, SIYO WANAUME!

MAISHA yanakimbia kuliko treni iendayo kasi. Sasa hivi kama mtu akija na kukuambia habari za mwaka mpya, anasema hivyo kwa mazoea tu, lakini ukweli halisi ni kwamba mwaka umeshakomaa huu, watu wameshasahau kama wiki chache zilizopita, dunia  nzima ilikuwa ikizizima kwa nyimbo za Happy New Year!
Yaaa, mwaka umeshakuwa wa zamani maana hata machungu ya wazazi na walezi kwa ada walizotoa kwa wategemezi wao zimeshaisha uchungu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mkuya: Siyo kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi

Hata hivyo, amsema serikali inaangalia ripoti ya Swiss Leaks ili kuona uhalali wa akaunti hizo za siri.

“Sisi hatujaona kama ni kosa kwa Watanzania kuwekeza fedha zao kwenye mabenki ya nje na wala isionekane kama ni jambo haramu kabisa.

Kama serikali tungetamani wawekeze kwenye benki nchini ili kukuza sekta ya fedha lakini pia hatuwafungi kutowekeza nje,” alisema.

“Tunachofanya ni kuiangalia hiyo ripoti ili kujua ukweli wa taarifa hizo, lakini taarifa hiyo haimaanishi kwamba ni kosa kubwa...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy, umezidi kuliletea taifa letu heshima. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea kupambana na kazi zangu kama kawaida ili mkono uende kinywani.Nimekukumbuka leo kwa barua kwani kuna jambo nataka nikushauri....

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: Wapo wanaume siyo rijali

Serikali imekiri kuwapo wanaume ambao mbegu zao hazina uwezo wa kuwapa mimba wanawake na kwamba, imekuwa ikiendelea kutoa elimu mara kwa mara.

 

11 years ago

GPL

LINAH: WANAUME WAFUPI SIYO ‘UGONGWA’ WANGU

Esterlina Sanga ‘Linah’. Na  Mayasa Mariwata
MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake. Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …

Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]

The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

9 years ago

GPL

SIPUNGII TENA WADADA MKONO!

Kuna mambo mengine mtu unafanya kisha yanageuka maana na kukuweka katika hali ya sintofahamu. Lakini lililonikuta juzi mpaka sasa nacheka huku nalia peke yangu hata usiku wa manane. Unajua kama wiki tatu zilizopita yule mchumba wangu niliyewatambulisha kwenu si kaamua kuniacha baada ya kukutana na jamaa mmoja mwongo wa kutisha. Jamaa kampiga fiksi mchumba wangu kuwa yeye ni mtoto wa mmoja wapo wa wagombea urais wa awamu ya tano,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbinu za kufufua penzi lenu

Je, Unajua kuwa sikukuu ya wapendanao imewadia ? Jifunze mbinu za kufufua penzi lako usiachwe pekee yako .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani