Alikiba asema hana chuki na Diamond, ampongeza lakini…’sifikirii kuongea naye’
Wiki Ijayo Alikiba atakuwa mgeni katika kipindi cha runinga cha The Sporah show. Katika promo ya mahojiano yake na Sporah inayoendelea kurushwa kupitia Clouds TV, Alikiba amemzungumzia Diamond Platnumz ambaye huwa inasemekana wana-beef. katika promo hiyo Sporah amemuuliza Alikiba kama Diamond ndiye amechukua nafasi yake kwenye muziki kwa kipindi alichokaa kimya, na majibu yake yanaongeza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo522 Sep
Diamond au Alikiba? Mr Blue aeleza yupi anayependa kufanya naye ngoma
9 years ago
Bongo517 Nov
Alikiba atolea ufafanuzi post ya ‘utata’ aliyoandika Instagram, na ampongeza Diamond kwa ushindi wa AFRIMA

Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti.
Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae...
10 years ago
GPL
DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale

Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
11 years ago
Bongo523 Jul
Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!
10 years ago
CloudsFM20 Apr
Nilishawahi kuongea na Mangwea wiki moja kabla hajafa na akakubali nifanye naye collabo
Mshindi wa Airtel Trace music star Mayunga Malimi leo alifunguka kupitia interview yake aliofanya na Clouds Digital na kusema alishawahi kumwomba marehemu Magwea kufanya naye collabo na akakubali bila malipo yoyote ila kwa bahati mbaya baada ya wiki Magwea alifariki na ndipo alipo amua kumshirikisha Mr Blue baada ya Magwea kufariki katika wimbo wake huo wa Tell Me.
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea Kumnunia
Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele, viatu, na nk ,kupitia kampuni yake ya KIDOTI.
Mwigizaji Wema Sepetu nae haukuwa nyuma kwani jana kupitia mtandaoni alimpongeza mwanadada Jokate kwa hatua aliyofikia na akasema hii ni kama changamoto kwa kila kijana na kumtakia mafanikia zaidi kwa mwaka ujao.Mwishoni akamalizia na kautani kidogo...
9 years ago
Habarileo26 Dec
Niyonzima asema hana furaha
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema hana furaha kuwa nje ya Yanga na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo yake kwa uongozi.
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Kocha asema Adebayor hana nidhamu