Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha asema Adebayor hana nidhamu

Mkufunzi mpya wa timu ya Togo Tom Saintfiet amemshtumu nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor kwa ukosefu wa nidhamu baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kushindwa kujiunga na kikosi hicho

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

  Kocha mpya wa Aston Villa  Asema hana miujiza ahitaji mshikamano.

 

Siku moja baada ya klabu ya Aston Villa ya England kumtambulisha kocha mpya Remi Garde kuchukua nafasi ya kocha Tim Sherwood aliyetimuliwa wiki mbili zilizopita, kocha huyo amesema kuwa hana miujiza na anachohitaji ni uvumilivu na mshikamano ndani ya timu.

Kocha Garde raia wa Ufaransa amebainisha kuwa ana kabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya kuweka mambo sawa na itachukua muda  kwa timu hiyo kurudi katika mstari kutokana na matokeo mabaya yanayowazunguka ikiwa na pointi 4 tu katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtosa Adebayor

Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Saintfiet amesisitiza hawezi kumuita katika kikosi chake cha timu ya Taifa ya Togo, mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nimerejea asema Adebayor

Mshambulizi wa Tottenham Hotspurs raiya wa Togo Emmanuel Adebayor, amesema kuwa matatizo yaliyokuwa yanamsumbua yamekwisha

 

10 years ago

Bongo5

Kocha wa Togo amtema Adebayor kwenye timu ya taifa

Kocha wa timu ya taifa ya Togo, Tom Saintfiet, amesema hatomuita katika kikosi cha taifa mchezaji Emmanuel Adebayor. Saintfeit amesema Adebayor, 31, alishindwa kujibu alipoitwa kwenda kucheza dhidi ya Djibouti Septemba 4. Mwezi Juni, alitishia kutocheza baada ya kuvuliwa unahodha. Saintfeit amesema hayo alipo ongea na waandishi wa habari. “Kama una mpenzi ambaye anaonekana kusuasua, […]

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima asema hana furaha

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema hana furaha kuwa nje ya Yanga na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo yake kwa uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gerrard asema Balotelli hana 'heshima'

Steven Gerrard amemshtumu mshambuliaji wa timu hiyo Mario Balotelli kwa kutokuwa na heshima baada ya kuchukua mkwaju wa penalti

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu asema hana kinyongo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mndolwa asema hana mpango na ubunge


NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba  lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini  Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani