Kocha Yanga amtosa Adebayor
Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Saintfiet amesisitiza hawezi kumuita katika kikosi chake cha timu ya Taifa ya Togo, mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Kocha asema Adebayor hana nidhamu
Mkufunzi mpya wa timu ya Togo Tom Saintfiet amemshtumu nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor kwa ukosefu wa nidhamu baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kushindwa kujiunga na kikosi hicho
9 years ago
Bongo509 Sep
Kocha wa Togo amtema Adebayor kwenye timu ya taifa
Kocha wa timu ya taifa ya Togo, Tom Saintfiet, amesema hatomuita katika kikosi cha taifa mchezaji Emmanuel Adebayor. Saintfeit amesema Adebayor, 31, alishindwa kujibu alipoitwa kwenda kucheza dhidi ya Djibouti Septemba 4. Mwezi Juni, alitishia kutocheza baada ya kuvuliwa unahodha. Saintfeit amesema hayo alipo ongea na waandishi wa habari. “Kama una mpenzi ambaye anaonekana kusuasua, […]
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kocha-640x360.jpg)
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kochaa-640x360.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSIEczhAg73wJQDyGGYfq6Jewza7PfKfwvqZDQk7gNbxH8Rc2x42zNXwG3gYzHtRZHtaZOAJEvG2ZFTcBa1RJ8uT/12.gif?width=650)
Yanga noma, yatua kwa ndugu wa Adebayor
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
KATIKA kuhakikisha wanafanya usajili bora, benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, limepanga kutua nchini Togo kwa ajili ya kusajili wachezaji. Yanga itatua Togo kwa nia ya kusajili katika nchi ambayo ndipo anatoka Emmanuel Adebayor, straika wa Tottenham ambaye aliwahi kuzichezea Arsenal na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MBTZAla8n8zHIc*ttVdGy5N4E74bE4EUbHJLeNN1plWrLxkD8w9yPoaeK8B-wIN-EPcYHDNy1mxM0YNQuQDs1Ip/ADEBAYOR.jpg?width=550)
SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI
Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Kocha: Yanga haijaiva
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amesema timu yake bado haijaiva kiasi cha kuridhika kutetea taji lake la Ligi Kuu hivyo inahitajika marekebisho kidogo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KOCHA HANS AAGA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Hans Van Der Pluijm kocha mkuu wa timu ya Young Africans leo amewaaga rasmi wachezaji wake, viongozi, wapenzi na wanachama baada ya kumalizaa wake wa miezi sita na sasa anakwenda kujiunga na timu Al Shoalah FC iliyopo Ligi Kuu nchini Saudi Arabia. Kocha huyo mdachi ambaye ameiongoza Young Africans kwa kipindi cha miezi mitano amesema anashukuru kwa sapoti aliyokua akiipata kutoka...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Kocha wa Yanga aishtukia Al Ahly
Kocha wa Yanga, Hans Van der Pluijm amebaini janja ya Al Ahly ya kuifuatilia, lakini yeye atabadili mbinu za uchezaji za timu yake.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLeW*7VDqh8QxF4DS0Cm-5M8uq3uRFCV1zghEfiT5wo90FRS30BGRAV1xrJTHKqUBbmFshepJRt2c57qy1T6*KV/yanga.gif?width=650)
Yanga yafuata kocha Brazil
Aliekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Ezekiel Kitula
MAKOCHA kutoka nchi mbili za Brazil na Uholanzi ndiyo wenye nafasi ya kuifundisha Yanga msimu ujao.
Habari za uhakika kutoka Yanga zinaeleza, Yanga inataka kupata kocha Mholanzi ili kuendeleza utamaduni wa Kiholanzi baada ya kufundishwa na Ernie Brandts na Hans van der Pluijm. Lakini kama mambo hayataenda vizuri itaangalia nchi nyingine na Brazil ndiyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania