Yanga noma, yatua kwa ndugu wa Adebayor

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge KATIKA kuhakikisha wanafanya usajili bora, benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, limepanga kutua nchini Togo kwa ajili ya kusajili wachezaji. Yanga itatua Togo kwa nia ya kusajili katika nchi ambayo ndipo anatoka Emmanuel Adebayor, straika wa Tottenham ambaye aliwahi kuzichezea Arsenal na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
Yanga yatua kwa Wawa
10 years ago
BBCSwahili11 May
Ndugu ya Adebayor aomba msamaha
10 years ago
GPL
EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, ATUMA UJUMBE MZITO FACEBOOK AKIELEZA MAZURI ALIYOWAFANYIA
10 years ago
Vijimambo07 May
EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, AWATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA FACEBOOK JITIRIRIKIE HAPO CHINI

Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea familia yake.
Staa huyo pia aliwahi kukana tuhuma alizotupiwa na dada yake kwamba alimfukuza mama yaka mzazi kwenye nyumba yake kwa tuhuma za ushirikina...
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Kocha Yanga amtosa Adebayor
11 years ago
GPL
YANGA YATUA PEMBA
10 years ago
GPL
MASHINE HATARI YATUA YANGA
11 years ago
GPL
YANGA YATUA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi
Yanga noma yabakisha pointi 3 kutwaa ubingwa

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.
Timu zikiingia uwanjani.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting. Picha zaidi BOFYA HAPA