Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YATUA JIJINI DAR ES SALAAM

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania Bara, Yanga wameshawasili salama jijini Dar es salaam wakitokea jijini Antalya nchini Uturuki walipokuwa wameweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIIBUGIZA SIMBA 1-0, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi na Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam, leo,  Machi 8, 2020 na kushuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
 Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT.MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIICHAPA 1-0 SIMBA SC UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi nan a Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga...

 

9 years ago

Vijimambo

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo. Sheikh  Othman Dishi akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa swala hiyo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa katika swala.
 Wanawake na watoto wakiwa kwenye swala hiyo. Mazuria ya kuswalia yakitandikwa kabla ya kuanza ibada. Hapa...

 

11 years ago

Michuzi

ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho

 ndege nyingine ya air tanzania aina ya  CRJ-200 ER yenye  uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo  ndege hiyo itaanza  kuruka kesho.

 

9 years ago

GPL

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Swala ikifanyika kwa unyenyekevu mkubwa. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid  (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili  katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid  (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili  katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.  Mwakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani