Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yafuata kocha Brazil

Aliekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Ezekiel Kitula
MAKOCHA kutoka nchi mbili za Brazil na Uholanzi ndiyo wenye nafasi ya kuifundisha Yanga msimu ujao.
Habari za uhakika kutoka Yanga zinaeleza, Yanga inataka kupata kocha Mholanzi ili kuendeleza utamaduni wa Kiholanzi baada ya kufundishwa na Ernie Brandts na Hans van der Pluijm. Lakini kama mambo hayataenda vizuri itaangalia nchi nyingine na Brazil ndiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Simba yafuata washambuliaji Brazil, Argentina

Wachezaji wa timu ya Simba SC. Na Sweetbert Lukonge
KUNDI la Friends of Simba limepania kuleta mabadiliko makubwa ndani ya klabu hiyo ili kuhakikisha inafanya vizuri katika michuano ya Ligi Kuu Bara msimu ujao, baada ya kutimkia nchini Brazil na Argentina kutafuta washambuliaji. Uamuzi huo umefikiwa hivi karibuni katika kikao kilichowakutanisha wajumbe wa kundi hilo walipokuwa wakipitia majina ya wachezaji wanaotaka kuwasajili...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Capello ndiye kocha anayelipwa mshahara mnono zaidi Brazil

Rio de Janeiro. Fainali za Kombe la Dunia zinafunguliwa leo nchini Brazil huku macho na masikio yakielekezwa kwa nyota 736 kutoka timu 32 zinazoshiriki ili kuona ni kitu gani watafanya.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Dunga ndiye kocha wa Brazil

Dunga ndiye kocha mpya wa Brazil

 

11 years ago

GPL

BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA

Luiz Felipe Scolari. BRAZIL inatarajia kumtangaza kocha wake mpya katika mkutano na wanahabari Julai 22 mwaka huu kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo, Luiz Felipe Scolari. Scolari mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Brazil katika Kombe la Dunia ambapo timu hiyo ilipata kichapo kibaya cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe hilo Ujerumani. Aliyekuwa kocha wa timu hiyo ambaye aliiongoza kati ya mwaka 2006 na 2011 huenda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil kumtangaza kocha mpya jumanne

Brazil inatarajiwa kumtangaza mkufunzi wake mpya katika mkutano na wanahabari siku ya jumanne kufuatia kujiuzulu kwa Scolari.

 

11 years ago

GPL

KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI

Luiz Felipe Scolari. KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014. Scolari amelaumiwa kwa kushindwa kuiongoza Brazil iliyoambulia nafasi ya nne katika muchuano hiyo iliyoandaliwa nyumbani kwao huku ikishuhudia kombe likienda kwa Ujerumani. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Kocha wa Nigeria awajia juu mashabiki

Kocha Stephen Keshi amewapuuza mashabiki wa soka nchini Nigeria baada ya timu yake kucheza moja ya mechi mbaya za Kombe la Dunia nchini Brazil mapema wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Kocha Marekani asifia uwezo wachezaji wake

Kocha wa timu ya taifa ya Marekani, Jurgen Klinsmann amekipongeza kikosi chake licha ya kutolewa katika hatua ya mtoano ya timu 16 za Kombe la Dunia dhidi ya Ubelgiji, akisema wana nafasi ya kufanya makubwa katika siku zijazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani