BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA
![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAamk1DEWkNrGO4Vm1iz7n7J3mNeMkDU9UgyiVmXYS*hACo*IEJUTs5OW2yHWAPQyY54adOYODbYRGE2dATYQ2hq/scolari.jpg)
Luiz Felipe Scolari. BRAZIL inatarajia kumtangaza kocha wake mpya katika mkutano na wanahabari Julai 22 mwaka huu kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo, Luiz Felipe Scolari. Scolari mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Brazil katika Kombe la Dunia ambapo timu hiyo ilipata kichapo kibaya cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe hilo Ujerumani. Aliyekuwa kocha wa timu hiyo ambaye aliiongoza kati ya mwaka 2006 na 2011 huenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Brazil kumtangaza kocha mpya jumanne
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Brazil 2014: Capello ndiye kocha anayelipwa mshahara mnono zaidi Brazil
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLeW*7VDqh8QxF4DS0Cm-5M8uq3uRFCV1zghEfiT5wo90FRS30BGRAV1xrJTHKqUBbmFshepJRt2c57qy1T6*KV/yanga.gif?width=650)
Yanga yafuata kocha Brazil
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxepXXnzqaIvetXU*7EjLaq2nLxmFFZeqEm1EhnygeXc7eJXJCj5niqIiw4bKMO2CBaZCucDxhh3zpI2YdUkwsd0e/scolari.jpg)
KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Brazil 2014: Kocha wa Nigeria awajia juu mashabiki
11 years ago
Mwananchi03 Jul
BRAZIL 2014: Kocha Marekani asifia uwezo wachezaji wake
11 years ago
CloudsFM25 Jun
KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka
uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI
"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.
Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...