Sina mpango wa kuzaa kwa sasa — Aika
Member wa kundi la Navy Kenzo, Aika amesema hana mpango wa kuwa mtoto kwa sasa.
Aika ambaye ni mpenzi wa producer Nahreel anayeunda naye kundi la Navy Kenzo, aliiambia Radio Five ya Arusha kuwa haitaji mtoto kwa sasa kwa kuwa bado anajipanga.
“Mtoto sasa hivi nitakuwa namtesa kumleta kwenye haya mazingira na mimi ndo nimeanza kutafuta, kujenga muziki wetu,” alisema.
“Ningependa nimlete wakati mambo yangu pia yametulia ili aingie kwenye maisha mazuri. Mtoto akikuta maisha mazuri na yeye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies03 Jan
Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa
Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti
![WEMA341](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/01/WEMA341.jpg)
“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I...
10 years ago
Bongo513 Feb
Rich Mavoko: Sijaachia wimbo wala kwa sasa sina mpango wa kuachia wimbo
9 years ago
Bongo510 Oct
Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIsDzJvBWoJjN0g-EFgP6kEbEInfunvvLhjzzAJ1e*BR20tSjWZciB3kuqV49t*hHE1XjUmFCYq07ZcUeECWqKrO/Penny.jpg)
PENNY: NATAMANI MTOTO, SINA WA KUZAA NAYE
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Sina mpango wa kuigiza
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Magufuli: Sina mpango wa urais
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jul
Ndikilo: Sina mpango wa jimbo
NA BLANDINA ARISTIDES MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema hana ndoto ya kugombea ubunge katika jimbo la Nyamagana kama inavyodaiwa.
Mhandisi Ndikilo alitoa kauli hiyo jana, baada ya mbunge wa jimbo hilo, Ezekia Wenje, kudai kuwa mkuu huyo wa mkoa anataka kugombea jimbo hilo.
Wenje alitoa tuhuma hizo mwishoni mwa wiki, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Tambuka Reli, jijini hapa.
Katika mkutano huo, Wenje alitumia muda mwingi kutoa...