KONGAMANO LA VIJANA LA SIKU MOJA LAFANYIKA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s72-c/20141118_100555.jpg)
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC imeandaa kongamano la siku moja kwa vijana kutoka Asasi za kiraia lililojadili msimamo wa Tanzania juu ya masuala ya Mazingira, hususan Mabadiliko ya Tabianchi kuelekea Mkutano Mkubwa wa Mazingira Duniani utakaofanyika katika jiji la Lima nchini Peru, Desemba 2014.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s1600/20141118_100555.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-tpX4dp1a1Vw/VGzz-oIBz3I/AAAAAAADNug/CzharKwUq4U/s1600/20141118_101009.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7zQmDoSBhM0/U4rfBWQVKpI/AAAAAAAFm38/dFcKNSQ329g/s72-c/unnamed+(12).jpg)
kongamano la kimataifa la wanasayansi lafanyika jijini Dar es Salaam
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania lafanyika jijini Dar
Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar es Salaam jana. Kongamano hilo lililowahusisha wanawake kutoka mikoa tisa ya Tanzania Bara...
9 years ago
MichuziKONGAMANO LA MABADILIKO YA TABIANCHI LAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO,JIJINI DAR
Akizungumza Afisa Miradi Msaidizi wa Shirika la Forum CC,Jonathan Sawaya alisema asasi hizo zimeona ni vema kuwakilisha sauti za wakulima kwa serikali katika kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi.
Alisema asilimia kubwa ya wakulima wengi...
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR LEO.
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti Tanzania (Repoa), Samwel Wangwe amewataka watanzania kuwawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo hususani wanawake kwani wananafasi kubwa ya kuchangia pato la Taifa.
Akizunguza Dar es Salaam leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania, Wangwe alisema ni muhimu kuhakikisha wafanyabiashara hao wanawezeshwa na kuwajali katika uzalishaji na uendeshaji wa biashara zao.
Alisema kwa mujibu wa...
11 years ago
MichuziKONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR,WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA
Borouge ilileta wataalam wanne ambao ni Mario Andrade, Farraj Tashman, Andrew Wedgner na Reda Ashkar. walionufaika na mafunzo hayo ni waliotoka Mamlaka za Maji mijini na vijiji, Wahandisi,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uQWMxOpimYE/U5Qg_S3AOUI/AAAAAAAFot8/8sZOm-_Yg8A/s72-c/unnamed+(34).jpg)
KONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA
9 years ago
MichuziBONANZA LA UZAZI WA MPANGO KWA VIJANA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WANAWAKE TANZANIA (TANZANIA BUSINESS ENTREPRENEURS) LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwito huo umetolewa na Mratibu wa Kongamano la Jumuia ya Wafanyabiashara Wanawake Tanzania, Julieti Mjale wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano hilo lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden Dar es Salaam jana.
"Uthubutu katika jambo lolote ni muhimu kwani unamfanya muhusika kupiga hatua ya maendeleo" alisema Mjale
Alisema wajasiriamali...