Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania lafanyika jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for Growth (EFG), JaneMagigita akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam.
Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar es Salaam jana. Kongamano hilo lililowahusisha wanawake kutoka mikoa tisa ya Tanzania Bara...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR LEO.
Na Dotto Mwaibale
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti Tanzania (Repoa), Samwel Wangwe amewataka watanzania kuwawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo hususani wanawake kwani wananafasi kubwa ya kuchangia pato la Taifa.
Akizunguza Dar es Salaam leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania, Wangwe alisema ni muhimu kuhakikisha wafanyabiashara hao wanawezeshwa na kuwajali katika uzalishaji na uendeshaji wa biashara zao.
Alisema kwa mujibu wa...

MichuziKONGAMANO LA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WANAWAKE TANZANIA (TANZANIA BUSINESS ENTREPRENEURS) LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
WAJASIRIAMALI wanawake nchini wametakiwa kuwa na moyo wa uthubutu ili kupiga hatua ya maisha na kiuchumi badala ya kuwa waoga.
Mwito huo umetolewa na Mratibu wa Kongamano la Jumuia ya Wafanyabiashara Wanawake Tanzania, Julieti Mjale wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano hilo lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden Dar es Salaam jana.
"Uthubutu katika jambo lolote ni muhimu kwani unamfanya muhusika kupiga hatua ya maendeleo" alisema Mjale
Alisema wajasiriamali...

Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s72-c/20141118_100555.jpg)
KONGAMANO LA VIJANA LA SIKU MOJA LAFANYIKA JIJINI DAR
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Forum CC imeandaa kongamano la siku moja kwa vijana kutoka Asasi za kiraia lililojadili msimamo wa Tanzania juu ya masuala ya Mazingira, hususan Mabadiliko ya Tabianchi kuelekea Mkutano Mkubwa wa Mazingira Duniani utakaofanyika katika jiji la Lima nchini Peru, Desemba 2014.
Sehemu ya Washiriki walioshiriki katika kongamono hilo la siku moja lililoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Forum CC wakifuatilia mjadala kwa makini.
Naibu Waziri, Ofisi ya...
![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s1600/20141118_100555.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-tpX4dp1a1Vw/VGzz-oIBz3I/AAAAAAADNug/CzharKwUq4U/s1600/20141118_101009.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7zQmDoSBhM0/U4rfBWQVKpI/AAAAAAAFm38/dFcKNSQ329g/s72-c/unnamed+(12).jpg)
kongamano la kimataifa la wanasayansi lafanyika jijini Dar es Salaam
Wananchi wanaoishi kando ya maeneo ya ardhioevu na sehemu ambazo mito inakutana na bahari wamehimizwa kuzingatia matumizi bora ya maeneo hayo ili yasiweze kuleta madhara ya mali, uhai wao na uharibifu wa viumbe hai vilivyopo katika sehemu hizo.
Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Mahmoud Mgimwa, alisema hayo wakati akifunga mkutano wa wanasayansi toka Afrika na nje ya bara hilo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo lililojulikana kama Afrideltas liliangalia na...
11 years ago
Michuzi08 Aug
11 years ago
MichuziKONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR,WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA
Wiki hii jijini Dar es salaam kumefanyika Kongamano kubwa la wadau wa maji kutoka kila kona ya nchi hii. kubwa lililofanyiwa kazi na wataalam hao wa maji ni kujulishwa teknolojia mpya ya mabomba iliyokuwa inatambulishwa na kampuni kubwa ya teknolojia ya mambomba ya Borouge kutoka Falme za Kiarabu.
Borouge ilileta wataalam wanne ambao ni Mario Andrade, Farraj Tashman, Andrew Wedgner na Reda Ashkar. walionufaika na mafunzo hayo ni waliotoka Mamlaka za Maji mijini na vijiji, Wahandisi,...
Borouge ilileta wataalam wanne ambao ni Mario Andrade, Farraj Tashman, Andrew Wedgner na Reda Ashkar. walionufaika na mafunzo hayo ni waliotoka Mamlaka za Maji mijini na vijiji, Wahandisi,...
9 years ago
MichuziKONGAMANO LA MABADILIKO YA TABIANCHI LAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO,JIJINI DAR
ASASI za Kiraia nchini zikiwemo Oxfam Tanzania, Forum CC na Norwegian Church Aid Actalliance zafanya kongamano la Kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa Chakula nchini.
Akizungumza Afisa Miradi Msaidizi wa Shirika la Forum CC,Jonathan Sawaya alisema asasi hizo zimeona ni vema kuwakilisha sauti za wakulima kwa serikali katika kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi.
Alisema asilimia kubwa ya wakulima wengi...

Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uQWMxOpimYE/U5Qg_S3AOUI/AAAAAAAFot8/8sZOm-_Yg8A/s72-c/unnamed+(34).jpg)
KONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA
WIKI HII JIJINI DAR ES SALAAM KUMEFANYIKA KONGAMANO KUBWA LA WADAU WA MAJI KUTOKA KILA KONA YA NCHI HII.
KUBWA LILILOFANYIWA KAZI NA WATAALAM HAO WA MAJI NI KUJULISHWA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA ILIYOKUWA INATAMBULISHWA NA KAMPUNI KUBWA YA TEKNOLOJIA YA MAMBOMBA YA BOROUGE KUTOKA FALME ZA KIARABU.
BOROUGE ILILETA WATAALAM WANNE AMBAO NI MARIO ANDRADE, FARRAJ TASHMAN, ANDREW WEDGNER AND REDA ASHKAR. WALIONUFAIKA NA MAFUNZO HAYO NI WALIOTOKA MAMLAKA ZA MAJI MIJINI NA VIJIJI, WAHANDISI,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania