Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto zinazokwamisha uzazi salama kudhibitiwa

KAMATI ya Afya ya Uendeshaji ya Wilaya ya Nkasi imeahidi kufanyia kazi changamoto zinazokabili vituo kadhaa vya afya na kukwamisha ufanisi katika utoaji wa huduma za dharura wakati wa kujifungua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume wa Tanzania na uzazi salama

Wanaume nchini Tanzania wamekuwa wazito kutumia baadhi njia za uzazi wa mpango, hasa ile ya kudumu kwa kufunga uzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama

Uzazi ni suala la msingi linalotawala viumbe vyote vilivyo hai duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake na Changamoto za Uzazi

Wanawake wanapaswa kuchukua hatua mara tu wagunduapo Wajawazito

 

10 years ago

GPL

RUHUSUNI WANAUME WADI ZA LEBA KUCHOCHEA UZAZI SALAMA

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

KOMBO: Ruhusuni wanaume wadi za leba kuchochea uzazi salama

DSC_0036

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na  taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aonya dawa za wakunga wa jadi kwa uzazi salama

DAWA za kienyeji wanazopatiwa wajawazito na wakunga wa jadi wakati wa kujifungua husababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaozaliwa na wanawake hao.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wapewa changamoto ya kutumia uzazi wa mpango

Afisa Vijana wa UMATI kutoka Temeke Bibi. Upendo Daud akimkabidhi zawadi ya machapisho kuhusu Afya ya uzazi wa mpango Mwenyekiti wa Mtaa wa Sabasaba ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana lililofanyika katika mtaa wake. Jamvi la Vijana ni program ambayo inaendeshwa na UMATI kupitia Kituo cha Vijana YAM kutoka Manispaa ya Temeke, Jamvi hilo la vijana limebeba kauli mbiu ya “Kijana ana haki ya juu ya uzazi wa mpango?”Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo...

 

10 years ago

Dewji Blog

KOMBO: Ruhusuni wanaume wadi za leba kupunguza kuchochea uzazi salama

DSC_0036

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na  taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

uzazi tanzania unakabiliwa na changamoto chekwa kila uchao

Unaingia katika wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya, unaziona sura za wanawake walio katika uchungu wa kujifungua zikiwa  shakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani