Waziri aonya dawa za wakunga wa jadi kwa uzazi salama
DAWA za kienyeji wanazopatiwa wajawazito na wakunga wa jadi wakati wa kujifungua husababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaozaliwa na wanawake hao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Jan
SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi
WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.
10 years ago
MichuziWAKUNGA WA JADI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATALAM WA AFYA ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75,000 huku 6000 pekee ndio wamesajiliwa
Msajili Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Mboni Zuwena Bakari, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akielezea kuhusu maendeleo ya tiba hiyo. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Tiba Asilia na Tiba Mbadala, Dk. Paulo Mhame na kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Catherine Sungura.
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Imeelezwa kuwa Tanzania ina waganga wa jadi na wakunga wa tiba asili 75000 ambaapo waliosajiliwa pekee...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
'Dawa' ya mpango wa uzazi kwa wanaume
11 years ago
BBCSwahili13 May
Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Ampicillin; Dawa za kutibu U.T.I (2)Usizitumie sanjari na dawa za kupanga uzazi
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Wanaume wa Tanzania na uzazi salama
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama
10 years ago
Habarileo31 Oct
Changamoto zinazokwamisha uzazi salama kudhibitiwa
KAMATI ya Afya ya Uendeshaji ya Wilaya ya Nkasi imeahidi kufanyia kazi changamoto zinazokabili vituo kadhaa vya afya na kukwamisha ufanisi katika utoaji wa huduma za dharura wakati wa kujifungua.