Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ampicillin; Dawa za kutibu U.T.I (2)Usizitumie sanjari na dawa za kupanga uzazi

Mpendwa msomaji nakushukuru kwa kutenga muda wako kwa ajili ya kusoma safu hii. Katika makala yetu ya leo nitaendelea kutoa maelezo ya namna bora ya kutumia dawa za kutibu U.T.I. Kwa faida ya wasomaji wapya nitaelezeza tena kwa ufupi kuhusu ugonjwa wa U.T.I.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dawa ya ZMapp yalazimishwa kuingia sokoni kutibu ebola

Watu wengi walikuwa hawaijui dawa hii iliyokuwa katika hatua za majaribio hadi pale wafanyakazi wawili wa mashirika ya afya ya kimataifa, raia wa Marekani walipoambukizwa ebola wakati wakiwasaidia waathirika wa ugonjwa huo katika nchi za Afrika Magharibi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni dawa gani yenye matumaini zaidi kutibu corona?

Hakuna dawa iliyothibitishwa na wanasayansi kutibu ugonjwa huu, lakini juhudi za kutafuta chanjo zinaendelea kote duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

TAHADHARI: Dawa za ‘kutibu meno bila kung’oa,’ zinaathiri afya

Matatizo katika afya ya kinywa na meno yamekuwa changamoto kwa watu wengi si tu nchini bali sehemu mbalimbali ulimwenguni.

 

5 years ago

Michuzi

Mwingine aibuka Njombe adai kupata dawa ya kutibu Corona

Na Amiri kilagalila,Michuzi TV-Njombe

Ikiwa Siku chache zimepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli kufungua milango kwa watafiti wakiwemo wataalamu wa tiba asilia kufanya uchunguzi ili kubaini dawa ya kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19),hatimae huko mkoani Njombe mtu mmoja ambaye ni mtaalamu wa tiba asilia na tiba mbadala anaefahamika kwa jina la Ally Mhagama maarufu Dr Sagasaga amekiri kufanya utafiti na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hatari ya dawa ya hydroxychloroquine inayotumiwa na watu kutibu Covid -19

Shirika hilo limeonya kwamba utumiaji wa dawa ya chloroquine au hydroxychloroquine bila kufuata mwongozo kunaweza kusababisha madhara makubwa ikiwemo kuumwa kupita kiasi au kifo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Madaktari wataja mchanganyiko wa dawa unaoweza kutibu Covid-19

Dkt John Wright kutoka Bradford Royal Infirmary (BRI) anaelezea baadhi ya majaribio yanayoendelea kwa ajili ya kupata tiba ya Covid-19, na mchanganyiko wa aina tatu za dawa ambazo zinaweza kuwa ufunguo wa tiba ya corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

'Dawa' ya mpango wa uzazi kwa wanaume

Wanasayansi wanadai kuwa dawa mpya liyozinduliwa ya mpango wa uzazi kwa wanaume imefanikiwa kwa asilimia 99.

 

10 years ago

Habarileo

Ukosefu wa dawa waathiri uzazi wa mpango

UKOSEFU wa dawa na uchache wa watoa huduma katika suala la uzazi wa mpango inaelezwa kuwa ni sababu kubwa ya Watanzania wengi hasa wa vijijini kushindwa kutumia njia za uzazi wa mpango.

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi

Wanasayansi wanasema kemikali zinazopatikana katika dawa ya kusugua meno na sabuni zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani