Mafunzo ya walimu nusura yaingie dosari
MAFUNZO maalumu ya kuboresha ufundishaji masomo kwa shule za sekondari mkoani Dodoma nusura yaingie dosari mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia baada ya walimu kudai hawajalipwa tangu kuanza kwa mafunzo hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Apr
Uchaguzi wa walimu nusura uvunjike
UCHAGUZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) mkoa wa Simiyu uliofanyika jana, nusura uvunjike baada ya baadhi ya wagombea, kuanza kutuhumiana ndani ya ukumbi wakati wakijieleza kwa wajumbe.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wizara yafafanua mafunzo ya walimu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema Mafunzo ya Stashahada ya kawaida ya Elimu ya Msingi, yanatolewa kwa walimu waliopo kazini wanaofundisha katika shule za Msingi kwa sifa ya Cheti cha Ualimu wenye uzoefu usiopungua miaka miwili.
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Walimu Karagwe waomba mafunzo JKT
WALIMU wa shule za msingi na sekondari wilayani Karagwe, wameitaka serikali kurudisha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, ili kuwajengea ukakamavu katika maeneo yao ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
Walimu wagomea mafunzo wakidai posho
Walimu wagomea mafunzo wakidai posho
NA CHIBURA MAKORONGO, SIMIYU
MAFUNZO kwa ajili ya walimu wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu, yameingia dosari baada ya walimu kugoma wakidai posho.
Walimu 200 kutoka wilaya tano za mkoa huo, wanashiriki mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo, ambapo jana waligoma kuendelea wakitaka kufahamu mustakabali wa posho za kijikimu.
Habari za kuaminika zinasema walimu hao walifikia uamuzi huo baada ya kuhudhuria mafunzo hayo ya siku 10 kwa siku nne mfululizo...
10 years ago
GPLTFF YAWAPA MAFUNZO YA UKOCHA WALIMU 20
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Mafunzo kwa walimu kunusuru anguko la elimu
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Mafunzo kwa walimu nguzo ya elimu bora
10 years ago
MichuziUNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Na Geofrey Adroph, Pamoja blog
UNESCO imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya ualimu. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam Institute of...
10 years ago
Dewji Blog08 May
UNESCO, Serikali watia saini mradi wa mafunzo ya Tehama kwa walimu
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing (kushoto), Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha (kulia), Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmar pamoja na mkalimani wa Balozi wa China wakifurahi jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani) akiwasili kwenye...