Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa walimu nusura uvunjike

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Gratian Mukoba.UCHAGUZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) mkoa wa Simiyu uliofanyika jana, nusura uvunjike baada ya baadhi ya wagombea, kuanza kutuhumiana ndani ya ukumbi wakati wakijieleza kwa wajumbe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mafunzo ya walimu nusura yaingie dosari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.MAFUNZO maalumu ya kuboresha ufundishaji masomo kwa shule za sekondari mkoani Dodoma nusura yaingie dosari mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia baada ya walimu kudai hawajalipwa tangu kuanza kwa mafunzo hayo.

 

10 years ago

Habarileo

UWT Arusha wawakataa walimu uchaguzi mkuu

Wanawake wa UWT wakishangilia.JUMUIYA ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha, imetangaza wazi kuwakataa walimu kusimamia uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais, kutokana na tabia ya kufanya hujuma kwa chama hicho wakati wanasaidiwa mambo mengi ya msingi na serikali ya CCM.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA WALIMU



MICHUZI BLOG, JUNE 05, 2020  HABARI, IKULU,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.  Kwaya ya CWT ikitumbuiza kabla ya...

 

5 years ago

CCM Blog

VIDEO: RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA WALIMU



MICHUZI BLOG  AT FRIDAY, JUNE 05, 2020  HABARI, IKULU,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Kwaya ya CWT ikitumbuiza...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU DODOMA YAWAONYA WATAKAOTOA NA KUPOKEA RUSHWA UCHAGUZI CHAMA CHA WALIMU

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthnes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma.
Charles James, Michuzi TVZIKIWA zimebaki siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Viongozi wa kitaifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Dodoma imetoa onyo kwa wale wote watakaotoa na kupokea Rushwa.
Uchaguzi huo wa CWT utafanyika Juni 5 jijini Dodoma ambapo utachagua Rais, Makamu wa Rais,...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) KUFANYA UCHAGUZI MKUU KITAIFA MAY 28, 2015 JIJINI ARUSHA

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT)  Mhe. Ezekiah Oluoch akizungumza juu ya Uchaguzi Mkuu wa chama hicho kitaifa utakaofanyika Mei 28 katika mkutano Mkuu wa chama hicho utakaofanyika Mei 25 mpaka 28 katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Ngurudoto, jijini Arusha katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za mkoa za chama hicho. Kushoto ni Katibu wa chama mkoa Hassan Said
Na Woinde Shizza, 
ArushaChama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kufanya...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) KUFANYA UCHAGUZI MKUU KITAIFA MAY 28, 2015 JIJINI ARUSHA

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT)  Mhe. Ezekiah Oluoch akizungumza juu ya Uchaguzi Mkuu wa chama hicho kitaifa utakaofanyika Mei 28 katika mkutano Mkuu wa chama hicho utakaofanyika Mei 25 mpaka 28 katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Ngurudoto, jijini Arusha katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za mkoa za chama hicho. Kushoto ni Katibu wa chama mkoa Hassan Said
Na Woinde Shizza, Arusha

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kufanya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu wakati Kwaya ya CWT ilipokuwa ikitumbuiza.Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani