Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yafafanua mapumziko Des 9

SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uchaguzi serikali za mitaa Des 14

Waziri Mkuu, Mizengo PindaKIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua maoni ya Mwananchi

Serikali imelaani maoni ya Mhariri wa Mwananchi katika toleo la juzi ikidai yalikuwa na lengo la kupotosha mafanikio ya Rais Jakaya Kikwete na haiba ya Tanzania mbele ya Jumuiya ya Kimataifa.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua kuhusu wakurugenzi Maliasili

SERIKALI imesema Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori, Profesa Jafari Kideghesho, hawajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafafanua ukomo wa madaraka ya Rais na Mawaziri


Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili, Oktoba 25, mwaka huu, 2015.


Taarifa iliyotolewa jioni ya leo, Jumatano, Oktoba 21, 2015, Ikulu, Dar es Salaam na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue imesema kuwa Serikali imetoa ufafanuzi huo kuwasaidia wananchi kuelewa maelekezo na matakwa ya Katiba na Sheria kuhusu...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua kuchelewa kwa ajira za walimu nchini

Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.

BREAKING NEWS, AJIRA ZIMETOKA!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

<<< Bofya hapa >>>

 

9 years ago

Mtanzania

Mkutano Mkuu TFF Des 19

21NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

MKUTANO Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, mwaka huu.

Kikao cha Kamati ya utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana Septemba 6 mwaka huu kimepanga kufanyika kwa mkutano huo huku ajenda zake zitatangazwa baadaye.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, alisema ajenda hizo zitatolewa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.

“Tunawataarifu wajumbe wa mkutano mkuu tarehe ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya kina Mbowe, Dk Slaa sasa Des 30

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanachama 63 wa Chadema, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kupinga kushtakiwa kwa kufanya maandamano na mikusanyiko isiyo halali, imepangwa kutajwa Desemba 30 katika Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha.

 

10 years ago

Habarileo

Nusu ya wakazi Dar kutopiga kura Des. 14

Saidi Meck Sadiki ASILIMIA 42 ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ndiyo waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili ya upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani