Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yafafanua ukomo wa madaraka ya Rais na Mawaziri


Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili, Oktoba 25, mwaka huu, 2015.


Taarifa iliyotolewa jioni ya leo, Jumatano, Oktoba 21, 2015, Ikulu, Dar es Salaam na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue imesema kuwa Serikali imetoa ufafanuzi huo kuwasaidia wananchi kuelewa maelekezo na matakwa ya Katiba na Sheria kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua maoni ya Mwananchi

Serikali imelaani maoni ya Mhariri wa Mwananchi katika toleo la juzi ikidai yalikuwa na lengo la kupotosha mafanikio ya Rais Jakaya Kikwete na haiba ya Tanzania mbele ya Jumuiya ya Kimataifa.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua mapumziko Des 9

SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua kuhusu wakurugenzi Maliasili

SERIKALI imesema Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori, Profesa Jafari Kideghesho, hawajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafafanua kuchelewa kwa ajira za walimu nchini

Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.

BREAKING NEWS, AJIRA ZIMETOKA!! SOMA HAPA AJIRA MPYA ZA WAALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14

<<< Bofya hapa >>>

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI



Na Said Mwishehe, Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali za mitaa na ugatuzi wa madaraka ya Wananchi

Kama ilivyoelezwa katika makala iliyotoka wiki iliyopita kuhusu Rasimu ya Katiba na suala la ardhi, maliasili, gesi na mafuta,

 

5 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO DKT. MPANGO ALIVYOWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU MPANGO WA KIWANGO CHA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI 2020/2021


Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa na Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/2021. tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani