Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAGASHEKI; MAGUFULI NI JEMBE; AWANASA WAPINZANI

Khamis Sued Kagasheki. MIAKA zaidi ya 14 iliyopita, siasa za Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, hazikufikiria kama kuna mtu aliyeitwa Khamis Sued Kagasheki. Hata alipojitokeza, alionekana mgeni kwa wakazi wengi wa Bukoba. Mwaka huu, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli alimnadi Kagasheki na kumtaja kuwa ni mtu anayefaa kuwa mbunge kuliko wagombea wote lakini naye akamnadi mwakilishi huyo wa urais wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aapishwa na kuwashauri wapinzani

John Magufuli ameapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania na kuwaambia wapinzani kwamba yuko tayari kufanya kazi nao kwa ajili ya kuiendeleza nchi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wapinzani wapongeza utendaji wa Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari amemshauri Rais John Magufuli kuipitia upya mikataba ya madini na kuifanyika marekebisho ili kuboresha maisha ya Watanzania.

 

10 years ago

GPL

DNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA

Mwanamuziki DNA akiwapagawisha mashabiki wa muziki ndani ya Ukumbi wa Jembe ni Jembe, Mwanza. Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Kenrazy akiwa stejini kuwapa burudani mashabiki wa Jembe ni Jembe.…

 

10 years ago

GPL

SHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA

Mwana Hip hop, Joh Makini akisema na mashabiki wake waliofurika katika Ukumbi wa Jembe ni Jemba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mashabiki wakiwa wamechizika na burudani kutoka kwa Joh Makini.…

 

10 years ago

Michuzi

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.


 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3


 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao

 

Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.

Kushushwa kwa  Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...

 

11 years ago

CloudsFM

USAILI WA SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA DIVAZ DIVAZ UNAOFANYIKA PANDE ZA JEMBE NI JEMBE,MWANZA

Usaili wa Dance la Fiesta na Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ukifanyika pande za Jembe ni Jembe,jijini Mwanza hapa majaji wakiwasaili washiriki waliofika eneo hilo.Mmoja wa washiriki wa Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz akiimba kwenye usaili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani