HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-CqRYuySSglw/U-W6KtEobrI/AAAAAAACnCE/CqNkDBmALHE/s72-c/11.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA
10 years ago
GPLDNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA
10 years ago
Vijimambo18 Nov
SKYMOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH
![DSC_0206](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0206.jpg)
![DSC_0209](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0209.jpg)
![DSC_0119](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_01191.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Nov
SKY-MOTO yawabamba wakazi wa jijini Mwanza ndani ya Jembe Beach
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach lililopo Malimbe jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GJ-8MLJZOhI/VCusZTQkGEI/AAAAAAAGm5M/5VA9F1xAjzw/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-GJ-8MLJZOhI/VCusZTQkGEI/AAAAAAAGm5M/5VA9F1xAjzw/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ci-L9sZRXas/VCusYWC5zlI/AAAAAAAGm48/vHBq498x9sk/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkDnTqvhmbk/VCusYs_D5WI/AAAAAAAGm5E/1FjfxdspU6I/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rAc213RHzPE/VCusYhj72FI/AAAAAAAGm5A/GwbPEti-PuA/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
11 years ago
CloudsFM07 Aug
USAILI WA SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA DIVAZ DIVAZ UNAOFANYIKA PANDE ZA JEMBE NI JEMBE,MWANZA
Usaili wa Dance la Fiesta na Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ukifanyika pande za Jembe ni Jembe,jijini Mwanza hapa majaji wakiwasaili washiriki waliofika eneo hilo.
Mmoja wa washiriki wa Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz akiimba kwenye usaili.
10 years ago
Dewji Blog24 Oct
Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma
Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.
Digna Mbepera akiimba kwa...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR, USIKOSE LEO THAI VILLAGE NA KESHO NDANI YA JEMBE BEACH JIJINI MWANZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-vinvtLxBTpE/VGdXkvXks_I/AAAAAAABHns/uSuL695uyLk/s72-c/0.1MWANZA7.jpg)
ORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-vinvtLxBTpE/VGdXkvXks_I/AAAAAAABHns/uSuL695uyLk/s640/0.1MWANZA7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fnXDcP3XIgY/VGdXhsvHxwI/AAAAAAABHnk/dU82BmW_zKM/s640/0.1MWANZA5.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10