ORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-vinvtLxBTpE/VGdXkvXks_I/AAAAAAABHns/uSuL695uyLk/s72-c/0.1MWANZA7.jpg)
Kundi la Orijino Komedi likipata picha ya pamoja na ma-Jembe dJz kulia ni Dj Davy, kushoto ni Dj K-Flip, katika studio za Jembe Fm 93.7 Mwanza, Orijino Komedi Kesho jumapili wataungana na Yamoto Band katika Sunday Bonanza ya Familia na marafiki itakalopigwa Jembe Beach Malimbe kwa kiingilio cha shilingi 5000/=.Usiku wa leo (Jumamosi) uko pale pale ni SkyMotto, bendi ya Skylight itakisanukisha ikiwa sambamba na Yamoto Band ambapo kiingilio ni shilingi 10,000/= tu!!
Dj Frank on one & two at...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CqRYuySSglw/U-W6KtEobrI/AAAAAAACnCE/CqNkDBmALHE/s72-c/11.jpg)
HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-CqRYuySSglw/U-W6KtEobrI/AAAAAAACnCE/CqNkDBmALHE/s1600/11.jpg)
10 years ago
Michuzi21 Sep
10 years ago
Michuzi19 Sep
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jU0fTRQJp_4/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Orijino Komedi kutunisha mfuko wa Imetosha Foundation
NA MWANDISHI WETU
USHIRIKIANO wa Imetosha Foundation na Orijino Komedi, unatarajia kutoa burudani ya vichekesho vyenye lengo ya kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo kitakachoendesha shughuli za ujasiriamali kwa watu wenye ualbino.
Burudani hiyo kwa ajili ya kuchangia kituo hicho kitakachoitwa Santa Lucia ambacho kitajengwa huko Bumbuli Lushoto mkoani Tanga, itafanyika Septemba 11 katika usiku maalumu uliopewa jina la Ucheshi na muziki katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es...
10 years ago
MichuziNSSF YAKABIDHI NYUMBA KWA WASANII WA ORIJINO KOMEDI
10 years ago
Michuzi