Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aapishwa na kuwashauri wapinzani

John Magufuli ameapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania na kuwaambia wapinzani kwamba yuko tayari kufanya kazi nao kwa ajili ya kuiendeleza nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli aapishwa

MHESHIMIWA dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. 

Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.

Aidha Rais Magufuli anashika wadhifa huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza kipindi chake cha miaka 10.

Fuatilia tovuti yetu kwa habari zaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais John Magufuli aapishwa rasmi Tanzania

John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada ya kuapishwa rasmi kufuatia ushindi wake wa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu uliopita.

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aapishwa rasmi kuongoza serikali ya awamu ya tano

Rais Mteule John Magufuli leo ameapishwa kuwa rais awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusema anafahamu majukumu makubwa aliyonayo kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA LEO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Jeshi la Ulinzi lenye Umbo la Alfa, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Serikali mpya ya awamu ya tano, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo. Sherehe hizo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh....

 

9 years ago

Mwananchi

Wapinzani wapongeza utendaji wa Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari amemshauri Rais John Magufuli kuipitia upya mikataba ya madini na kuifanyika marekebisho ili kuboresha maisha ya Watanzania.

 

9 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI RASMI URAIS, AAPISHWA LEO JIJINI DAR ES ASALAAM, NI PAMOJA NA MAKAMU WAKE, MAMA SAMIA


Wananchi wenye shauku ya kuona tukio la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa wamepanga foleni kuingia katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
Wananchi wakiwa wamejikinga mvua kwa mwavuli wakati mvua ilipokuwa ikinyesha kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, wakati wa tukio la kuapsihwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Mama samia Suluhu Hassan leo

 

10 years ago

GPL

KAGASHEKI; MAGUFULI NI JEMBE; AWANASA WAPINZANI

Khamis Sued Kagasheki. MIAKA zaidi ya 14 iliyopita, siasa za Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, hazikufikiria kama kuna mtu aliyeitwa Khamis Sued Kagasheki. Hata alipojitokeza, alionekana mgeni kwa wakazi wengi wa Bukoba. Mwaka huu, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli alimnadi Kagasheki na kumtaja kuwa ni mtu anayefaa kuwa mbunge kuliko wagombea wote lakini naye akamnadi mwakilishi huyo wa urais wa...

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli aunganisha CCM na wapinzani nchini

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameanza mkakati wa kukusanya kura kutoka vyama tofauti, ikiwemo vyama vinavyounda kundi la Ukawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani