BREAKING NEWS: Magufuli aapishwa
MHESHIMIWA dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.
Aidha Rais Magufuli anashika wadhifa huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza kipindi chake cha miaka 10.
Fuatilia tovuti yetu kwa habari zaidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BREAKINGNEWS31.gif)
BREAKING NEWS: DK. MAGUFULI NDIYE RAIS
9 years ago
Habarileo29 Oct
BREAKING NEWS: Magufuli rais wa awamu ya tano
MGOMBEA urais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Serikali ya Tanzania kwa asilimia 58.46 ya kura zote zilizopigwa kufuatia uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 mwezi huu.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki
Leo Dec 23 2015 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata nafasi hiyo. #BREAKING Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii #MillardAYOUPDATES — millard […]
The post Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo10 Dec
BREAKING NEWS: Rais Magufuli atangaza baraza dogo la mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.
9 years ago
Habarileo16 Nov
BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge
RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Breaking News: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Ikulu – Dar
Rais John Pombe Magufuli asubuhi hii kwenye Ikulu jijini Dar es Salaam, anawaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa wizara mbalimbali aliowateua juzi Desemba 30.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qqFBht3pNFw/Vjiz8XJU1OI/AAAAAAAIEDM/lweg04swieg/s72-c/unnamed.jpg)
BREAKING NEWS: TB JOSHUA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA DKT MAGUFULI AKIAPISHWA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-PQPYGEH-0AQ/VjIijlUTHMI/AAAAAAABYPI/KRPt_5V2Vx0/s72-c/Magufuli-1.jpg)
BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-PQPYGEH-0AQ/VjIijlUTHMI/AAAAAAABYPI/KRPt_5V2Vx0/s640/Magufuli-1.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo
HABARI NJEMA…. Tumepokea taarifa kutoka Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera muda huu saa 4.15 usiku.. Masanduku 3,470 yamekamatwa kwenye magari ya serikali (TANROADS) Yakiwa na jumla ya kura 1,600,00 za Magufuli. Vijana wamekubaliana walale vituoni […]
The post Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo appeared first on Mzalendo.net.