Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS: DK. MAGUFULI NDIYE RAIS

Dk. John Pombe Magufuli. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935  sawa na asilimia 58.46%.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli rais wa awamu ya tano

MGOMBEA urais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Serikali ya Tanzania kwa asilimia 58.46 ya kura zote zilizopigwa kufuatia uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 mwezi huu.

 

9 years ago

MillardAyo

Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki

Leo Dec 23 2015 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata nafasi hiyo. #BREAKING Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii #MillardAYOUPDATES — millard […]

The post Breaking News: Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli atangaza baraza dogo la mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amteua Dk Tulia Mwansasu kuwa mbunge

RAIS wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemteua Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking News: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Ikulu – Dar

BREAKINGNEWS3Rais John Pombe Magufuli asubuhi hii kwenye Ikulu jijini  Dar es Salaam, anawaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa wizara mbalimbali aliowateua juzi Desemba 30.

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MBOWE: LIBERATUS MWANG'OMBE NDIYE MGOMBEA WA UBUNGE MBARALI KUPITIA UKAWA

Liberatus Mwang'ombe akichanganua changamoto za Mbarali mbele ya Mh. LowassaMh. Mbowe "Liberatus Mwang'ombe ndio mgombea halali wa UKAWA- Mbarali"
 Juu; baaa ya chopa ya Mh. Lowassa kutua. Chini: Mh. Mwang'ombe akiwaongoza wageni jukwaani
Bango: Mbarali tunamtaka Mwang'ombe Wana Mbarali wamesema watamchagua Mh. Mwang'ombe
 Juu Mh. Kingunge akielezea kuwa mabadiliko hayazuiliki Meza kuu
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli aapishwa

MHESHIMIWA dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. 

Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.

Aidha Rais Magufuli anashika wadhifa huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza kipindi chake cha miaka 10.

Fuatilia tovuti yetu kwa habari zaidi.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWS: TB JOSHUA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA DKT MAGUFULI AKIAPISHWA

Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria  ametua jijini Dar es salaam leo  tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho  Kikwete  kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani