Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto Kabwe alia na Samatta, Domayo

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Lucy Mgina na Martha Mboma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametaja kilichoinyima ushindi mkubwa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), ilipocheza na Zimbabwe wikiendi iliyopita. Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Stars ilivaana na Zimbabwe kwenye mchezo wa awali wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kabwe alia na zabuni za rushwa

Wakati Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akitaka waziri anayehusika na kusimamia Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) achukuliwe hatua kutokana na zabuni yenye harufu ya rushwa, imebainika kuwa hukumu iliyotolewa na Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), imesema kampuni iliyoshinda zabuni hiyo ilishiriki kuandaa nyaraka za zabuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nakuhurumia Zitto Kabwe

Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisoma makala hii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. Wakati huo Mwigamba alikuwa na mtazamo huu kuhusu Zitto. Lakini ni Mwigamba huyo...

 

10 years ago

IPPmedia

I'm still MP, declares Zitto Kabwe


IPPmedia
I'm still MP, declares Zitto Kabwe
IPPmedia
Kigoma North MP Zitto Kabwe, who was as of yesterday stripped of party membership by Chadema's Central Committee (CCC) told reporters in Dar es Salaam yesterday that he is also still chairperson of the Public Accounts Committee (PAC). “As you can see ...
Bunge Speaker to determine Zitto's fateDaily News
Zitto Loses Court Battle, Axed From ChademaAllAfrica.com

all 9

 

11 years ago

Mtanzania

Zitto alia na rushwa kwenye uchaguzi

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

NA GRACE SHITUNDU

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika vyama vya siasa nchini wamekuwa wakivunja sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010.

Alisema hatua ya kushindwa kuwasilisha ripoti ya matumizi ya fedha za uchaguzi kwa wagombea wa ubunge, urais na udiwani inakwenda kinyume na sheria.

Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akizungumzia ripoti ya utafiti wa rushwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto alia rafu za CCM majimboni

Chama cha ACT-Wazalendo kimelalamikia rafu  zinazodaiwa kufanywa na  CCM, dhidi ya wagombea ubunge wa chama hicho kwenye  majimbo mbalimbali ya Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu amshukia Zitto Kabwe

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa watu wanaosema kwamba maamuzi ya Kamati Kuu ya chama hicho kuwavua nafasi za uongozi makada wake watatu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Happy Birthday Zitto Kabwe!

zitozuberikabwe

Hey there! Sending birthday wishes your way for a beautiful year ahead. May your lucky stars continue to shine and make all of your dreams come true. Enjoy your day with all of the pleasures it has in store…….HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR FRIEND ZITTO KABWE!

 

11 years ago

GPL

MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha usaliti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani