SUNNRGY WAGUNDUA KIFAA KINACHOTUMIA MIONZI YA JUA

Mhandisi wa Sunnrgy,Erick Mhema akielezea wadau mbalimbali kifaa cha kuvuta maji kutokana na kutumia Nishati ya jua (Solar Energy),wakati wa mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua na Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara ya Nishati na Madini,Mhandisi Hosea Mbise akizungumza na waandishi na vyombo vya habari katika mkutano wa Wadau wa Nishati ya Jua na Upepo iliyofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Mionzi ni nini katika matibabu ya saratani?
WAGONJWA wa saratani hupewa tiba ya mionzi ili kupunguza uvimbe. Tiba hii hufanywa kwa lengo la kumaliza ugonjwa au kama tiba shufaa (nafuu ya ugonjwa) na mara nyingi hutolewa na...
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA BAGAMOYO KUTAMBUA BIDHAA NA VIFAA VYENYE MIONZI
Hayo yamebainishwa leo mjini Bagamoyo kwenye semina ya siku moja ya mafunzo hayo kwa wafanyabiasara wadogo wa naotumia bandari hiyo na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), Alex Muhulo.
Alisema TAEC imerahisisha huduma kwa wafanyabiashara wadogo wanaoingiza bidhaa...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
‘Cyberknife’ mfumo wa kiroboti wa upasuaji kwa mionzi usiotumia kisu
Mfumo wa upasuaji wa kiroboti usiotumia kisu (Cyberknife) ni njia m’badala ya upasuaji usiokuwa na madhara kwa matibabu ya uvimbe wa saratani na usio wa saratani popote katika mwili, hii ni pamoja na kibofu, mapafu, ubongo, uti wa mgongo, ini, kongosho na figo. Matibabu yanayotoa mihimili ya kiwango cha juu ya mionzi kwa uvimbe uliokomaa- yanatoa matumaini mapya kwa wagonjwa duniani kote.
Mfumo wa upasuaji wa kiroboti unaotumia mionzi unaboresha mbinu nyingine za upasuaji kwa mionzi kwa...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Wagundua tiba ya Ukimwi
5 years ago
Michuzi
TAEC:MIONZI INA FAIDA KUBWA NA SIYO MADHARA PEKE YAKE

Profesa Lazaro Busagala,Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu ya nchini (TAEC) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano kutoka Serengeti Breweries mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini Arusha.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya mafunzo ya usimamizi wa usalama wa mionzi yaliyofanyika Makao makuu ya Tume hiyo Jijini...
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Polisi wagundua bomu jingine
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Wagundua sumu ya kuua VVU mwilini