Polisi wagundua bomu jingine
Polisi nchini Misri wameleezea bomu lililo lipua basi la abiria na pia wagundua bomu jingine lililotegwa eneo la karibu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Bomu jingine lajeruhi 17 Arusha
MATUKIO ya milipuko ya mabomu yameendelea kulitikisa Jiji la Arusha baada ya watu 17 waliokuwa wakiangalia mpira kwenye baa ya Arusha Night Park, iliyopo maeneo ya Mianzini kujeruhiwa vibaya na...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Polisi wagundua kiwanda cha Konyagi bandia
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Polisi watatu wapigwa bomu
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA AMON MTEGA, SONGEA
ASKARI polisi watatu wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi saa moja jioni katika Mtaa wa Mabatini wakati askari hao wakifanya doria.
Akizungumza na MTANZANIA akiwa njiani kwenda mjini Songea, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mungulu, alikiri kutokea tukio hilo...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi wa doria wapigwa bomu
SIKU chache baada ya majambazi kuvamia Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Bukombe mkoani Geita, kuua askari wawili na kuiba silaha za moto, watu wasiofahamika wamewajeruhi askari watatu waliokuwa doria kwa kuwarushia kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Alipukiwa na bomu akishambulia polisi
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Bomu laua polisi 10 Uturuki
10 years ago
KwanzaJamii19 Sep
DCI: Bomu lililojeruhi polisi ni la kienyeji
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Askari polisi watupiwa bomu Songea
NA MWANDISHI WETU
ASKARI watatu wa polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa huo mjini Songea, baada ya kushambuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo lilitokea juzi, jioni katika kata ya Msufini, karibu na daraja la Matarawe, wilayani Songea, mkoani Ruvuma, ambapo watu watatu wasiofahamika walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Askari hao walikumbwa na mkasa huo wakati wakiwa kwenye doria katika eneo...