Polisi watatu wapigwa bomu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA AMON MTEGA, SONGEA
ASKARI polisi watatu wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi saa moja jioni katika Mtaa wa Mabatini wakati askari hao wakifanya doria.
Akizungumza na MTANZANIA akiwa njiani kwenda mjini Songea, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mungulu, alikiri kutokea tukio hilo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi wa doria wapigwa bomu
SIKU chache baada ya majambazi kuvamia Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Bukombe mkoani Geita, kuua askari wawili na kuiba silaha za moto, watu wasiofahamika wamewajeruhi askari watatu waliokuwa doria kwa kuwarushia kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
11 years ago
Habarileo09 Jul
Mgahawa wapigwa bomu Arusha
WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.
11 years ago
Habarileo06 Jul
Mashekhe wapigwa bomu wakila daku
WAKATI Waislamu wakiwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, watu wasiojulikana juzi walivamia nyumba ya Mkurugenzi wa Kanda ya Kaskazini wa Taasisi ya Kiislamu ya Answar Muslim Youth Centre, Shekhe Soud Ally Soud na kurusha kitu kinachodhaniwa kuwa bomu na kumjeruhi shekhe huyo na mgeni wake kutoka Kenya.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjM6uYhvG1OJd*3IaROWHnpKaNZ5y0pFepqhKbIw2PA-Sq7*UMbeRSfUtVUZ-4AMNfxSqXzyLFiuN9--1Wi39Mpr/2.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA WATATU KABUL
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Askari watatu wajeruhiwa na mlipuko wa bomu Songea
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi.(Picha Zote na demasho.com)
————-
ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea September 16/ 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe, wilayani...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Bomu laua watatu, dereva wa jaji auawa
10 years ago
GPLASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...