Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wagundua kiwanda cha Konyagi bandia

Yadaiwa ni cha mafundi magari, mkulima, mwendesha bodaboda na mfanyabiashara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

POLISI KILIMANJARO YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akitizama sehemu ya mbele ya kiwanda cha kutengenezea Konyagi feki ambapo muonekano wake ni maduka na saloon. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akitembelea sehemu ya nyuma ya kiwanda cha kutengeneza Konyagi feki katika eneo la kambi ya raha Bomang'ombe wilayani Hai. Sehemu ya bidhaa zilizokamatwa katika kiwanda hicho zikiwa kituo cha polisi Bomang'ombe. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akionesha...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania (TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa Meneja Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe (kushoto) na Meneja Bidhaa wa TDL, Warda Kimaro wakionesha vinywaji vipya aina ya Zanzi Chocolate  (ladha ya Chokoleti) na Zanzi Cappuccino (ladha ya kahawa) wakati wa uzinduzi wa  wa vinywaji hivyo uliofanyika katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam.
 Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
 Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa wa pili kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaamMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaamOfisa wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Symphorose Mhanza-Mwanamke fundi na mwendesha mitambo pekee kiwanda cha Konyagi

symphorose  pict 1

Bi. Symphorose Mhanza akiwa kazini katika kiwanda cha konyagi.

Ukifika katika kiwada cha Konyangi kilichopo eneo la Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kumkuta Bi.Symphorose Mhanza akiwa mitamboni huwezi kuamini kama ni mwanamke kutokana na anavyomudu kazi yake ya ufundi na uendeshaji mitambo.

Symphorose anasema kuwa japo kazi hii inaonekana kuwa ngumu kwa kuwa kuna wakati inabidi kutumia nguvu nyingi kama ilivyo desturi ya kazi za ufundi lakini ameizoea  na anaipenda.

“Naipenda sana kazi...

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang’ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam. Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa...

 

10 years ago

GPL

KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE‏

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wagundua bomu jingine

Polisi nchini Misri wameleezea bomu lililo lipua basi la abiria na pia wagundua bomu jingine lililotegwa eneo la karibu

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI WAKAMATA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI KARIBU NA MCHICHA

Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisiBaadhi ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya kupakia kwenye mabox konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo cha polisi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokwe wagundua kifaa cha kunywa maji

Watafiti wamegundua kifaa kipya kinachotumiwa na idadi kubwa ya masokwe kunywa maji .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani