Symphorose Mhanza-Mwanamke fundi na mwendesha mitambo pekee kiwanda cha Konyagi
Bi. Symphorose Mhanza akiwa kazini katika kiwanda cha konyagi.
Ukifika katika kiwada cha Konyangi kilichopo eneo la Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kumkuta Bi.Symphorose Mhanza akiwa mitamboni huwezi kuamini kama ni mwanamke kutokana na anavyomudu kazi yake ya ufundi na uendeshaji mitambo.
Symphorose anasema kuwa japo kazi hii inaonekana kuwa ngumu kwa kuwa kuna wakati inabidi kutumia nguvu nyingi kama ilivyo desturi ya kazi za ufundi lakini ameizoea na anaipenda.
“Naipenda sana kazi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA
Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Polisi wagundua kiwanda cha Konyagi bandia
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI
10 years ago
Vijimambo24 Oct
WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI
11 years ago
Dewji Blog26 May
Wadau wa Reli na Bandari walipotembelea kiwanda cha mitambo ya Umeme cha ABC
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughuikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme,pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.
Mh. Balozi Dr. Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika kiwanda cha utengenezaji wa mitambo ya umeme kinachojulikana kama Anglo Belgian...
11 years ago
GPLWADAU WA RELI NA BANDARI WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA MITAMBO YA UMEME CHA ABC
5 years ago
MichuziKIWANDA CHA AFRICAB KUFUNGA MITAMBO MIPYA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI WA NYAYA
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji kiwandani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati Dustan Kitandula akipewa maelezo na Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. kuhusu uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho
Mkurugenzi mwenza wa AFRICAB Yusuf Ezzi. akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati wakipewa maelezeo ya uzalishaji unaofanywa na kiwanda hicho
Mtendaji Msaidizi wa AFRICAB Gina Kunjal akifafanua ...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Anna Mghwira mwanamke pekee aliyejitosa urais
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Anna Mghwira, mwanamke pekee aliyejitosa kuwania urais