DCI: Bomu lililojeruhi polisi ni la kienyeji
NA GIDEON MWAKANOSYA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Issaya Mngulu, (pichani) amesema bomu waliorushiwa polisi wanne limetengenezwa kienyeji. Hata hivyo, amesema bomu hilo limetengenezwa kitaalamu zaidi kuliko mabomu mengine yaliyotengenezwa kienyeji na kulipuliwa katika baadhi ya maeneo nchini, lakini akasema hadi sasa hakuna anayeshikiliwa kwa tuhuma hizo. Alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya polisi Mkoa wa...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
10 years ago
Mtanzania19 Sep
Hali za polisi mbaya, DCI Mungulu ashutushwa
![Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Isaya-Mngulu.jpg)
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Amon Mtega, Songea
HALI za askari polisi watatu waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma, baada ya kujeruhiwa na bomu lililotengenezwa kienyeji imeelezwa kuwa ni mbaya.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Issaya Mungulu alisema jopo la madaktari linaendelea kutoa matababu kwa askari hao.
Aliwataja askari ambao hali zao si nzuri kuwa ni kuwa G7351 PC Ramadhan ,WP...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Ajira Jeshi la Polisi zisitolewe kienyeji
10 years ago
Habarileo23 Dec
Polisi Tabora wakamata bunduki 9 za kienyeji
JESHI la Polisi mkoani Tabora limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika msimu wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka na kufanikiwa kukamata bunduki tisa za kienyeji aina ya gobori wilayani Nzega.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mKkkxy7JF68/U2Dxiys88cI/AAAAAAAFeJs/adKVN38eDMs/s72-c/unnamed+(66).jpg)
Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
![](http://3.bp.blogspot.com/-mKkkxy7JF68/U2Dxiys88cI/AAAAAAAFeJs/adKVN38eDMs/s1600/unnamed+(66).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-x4MqX8xAyGk/U2DxfaOwF7I/AAAAAAAFeJQ/uf4QgNzEzQ8/s1600/unnamed+(68).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eCmJZoPDnbo/U7-YNzFsPvI/AAAAAAAF03g/AgxDw6gD2LU/s72-c/unnamed.jpg)
Utapeli wachukua sura mpya Iringa, mtandao wa waganga wa kienyeji matapeli wawatapeli wenzao 60 kwa kujifanya maofisa wa polisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-eCmJZoPDnbo/U7-YNzFsPvI/AAAAAAAF03g/AgxDw6gD2LU/s1600/unnamed.jpg)
UTAPELI sasa wachukua sura mpya mkoani Iringa badaa ya baadhi ya waganga wa tiba asilia (Sangoma) kugeuziana kibao wenyewe kwa wenyewe kwa kuanza kufanyiana utapeli wa kutisha ikiwa ni pamoja na kujifanya maofisa wa polisi na kuwatapeli fedha wenzao zaidi ya 60.
Imedaiwa kuwa waganga hao matapeli wana mtandao wao na wamekuwa wakiwatumia askari wasio na maadili ya jeshi la polisi kwa kwenda kuwatisha waganga wachanga kwa madai kuwa ...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Alipukiwa na bomu akishambulia polisi
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Polisi watatu wapigwa bomu
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA AMON MTEGA, SONGEA
ASKARI polisi watatu wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi saa moja jioni katika Mtaa wa Mabatini wakati askari hao wakifanya doria.
Akizungumza na MTANZANIA akiwa njiani kwenda mjini Songea, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mungulu, alikiri kutokea tukio hilo...
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Polisi wagundua bomu jingine