Alipukiwa na bomu akishambulia polisi
>Mtu mmoja mwanaume ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amefariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu wakati akijaribu kuwarushia polisi waliokuwa doria wakati wa Sikukuu ya Krismasi katika Kata ya Majengo, mjini hapa
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Nov
Alipukiwa na bomu kwenye gari, afa
KIJANA Juma Rashid anayesadikiwa kuwa na umri kati ya 21 na 23 amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilicholipuka ndani ya gari na kumkata kiganja cha mkono, mguu na tumbo, huku watu wengine watatu waliokuwa ndani ya gari hilo nao wakijeruhiwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ6-49uZWHiucuyYKegJgOGau01oTB*MAieZjMvPJnE53iBhfYbbIVmp6CETJWgmRHEo01k1SjlZ6dZrUOw5N6sGj/Bomu.jpg?width=650)
MWIMBA INJILI ALIPUKIWA NA BOMU AKIWA DUKANI
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Breaking News…DED Iramba alipukiwa na bomu kitandani
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Iramba , Halima Hanjali Peter (47) anusurika kuawa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Halima Hanjalli Peter (47), amenusurika kifo kwa kitu kinachodhaniwa kuwa bomu kulipukia kitandani...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vTq3P53RFFE/VJ2GBRH8b_I/AAAAAAAG57Q/UbZT0ElAWM8/s72-c/grenade.jpg)
Alipukiwa na Bobu alipotana kuwadhulu Polisi Mkoani Ruvuma
![](http://1.bp.blogspot.com/-vTq3P53RFFE/VJ2GBRH8b_I/AAAAAAAG57Q/UbZT0ElAWM8/s1600/grenade.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu ameiambia ITV kwa njia ya simu kuwa watu wa nne waliokuwa na mtu huyo wamekimbia huku polisi wakikamata simu za watu hao pamoja na ya marehemu huyo na kwamba hili ni...
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Polisi watatu wapigwa bomu
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA AMON MTEGA, SONGEA
ASKARI polisi watatu wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi saa moja jioni katika Mtaa wa Mabatini wakati askari hao wakifanya doria.
Akizungumza na MTANZANIA akiwa njiani kwenda mjini Songea, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mungulu, alikiri kutokea tukio hilo...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi wa doria wapigwa bomu
SIKU chache baada ya majambazi kuvamia Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Bukombe mkoani Geita, kuua askari wawili na kuiba silaha za moto, watu wasiofahamika wamewajeruhi askari watatu waliokuwa doria kwa kuwarushia kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Polisi wagundua bomu jingine
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Bomu laua polisi 10 Uturuki