Askari polisi watupiwa bomu Songea
NA MWANDISHI WETU
ASKARI watatu wa polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa huo mjini Songea, baada ya kushambuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo lilitokea juzi, jioni katika kata ya Msufini, karibu na daraja la Matarawe, wilayani Songea, mkoani Ruvuma, ambapo watu watatu wasiofahamika walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Askari hao walikumbwa na mkasa huo wakati wakiwa kwenye doria katika eneo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Askari watatu wajeruhiwa na mlipuko wa bomu Songea
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi.(Picha Zote na demasho.com)
————-
ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea September 16/ 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe, wilayani...
10 years ago
GPLASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: ASKARI WA TATU WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
(Picha Zote na demasho.com)-------------
ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea September 16, 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe,...
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Askari wa Temesa watupiwa lawama
LICHA ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kuruhusu upigaji picha katika eneo la kivuko na ndani, askari wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) wameendelea kukataza na kuwachukulia hatua...
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Askari na Waasi wauawa kwa Bomu Syria