Askari wa Temesa watupiwa lawama
LICHA ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kuruhusu upigaji picha katika eneo la kivuko na ndani, askari wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) wameendelea kukataza na kuwachukulia hatua...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Dec
Viongozi Simanjiro watupiwa lawama kutokana na rasilimali kutowanufaisha wananchi
Wakazi wa vijiji vilivyopo katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wameelezea kutoridhishwa na hali duni ya maisha wanayoishi ukilinganisha na rasilimali kubwa ya mifugo pamoja na madini ya Tanzanite yanayopatikana wilayani humo.
Wengi wao wanawashutumu viongozi wanaopewa dhamana ya kuongoza eneo hilo kushindwa kusimamia rasilimali zilizopo ili ziwanufaishe wananchi wote.
Kundi kubwa la wakazi wa eneo hilo la simanjiro ni watu wa jamii ya kifugaji ambao kwa asilimia kubwa hutegemea mifugo...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Sep
Askari polisi watupiwa bomu Songea
NA MWANDISHI WETU
ASKARI watatu wa polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa huo mjini Songea, baada ya kushambuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo lilitokea juzi, jioni katika kata ya Msufini, karibu na daraja la Matarawe, wilayani Songea, mkoani Ruvuma, ambapo watu watatu wasiofahamika walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Askari hao walikumbwa na mkasa huo wakati wakiwa kwenye doria katika eneo...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Temesa imezubaa: Magufuli
WAKALA wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetakiwa kuongeza kasi katika kutekeleza majukumu yake ili kurahisisha utendaji kwa wananchi na serikali. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, alipokuwa...
5 years ago
MichuziKAMWELWE AWANOA TEMESA NA TANROADS
Kamwelwe ametoa...
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
9 years ago
TheCitizen25 Nov
Sh9bn new ferries coming, Temesa reveals