Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Temesa imezubaa: Magufuli

WAKALA wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetakiwa kuongeza kasi katika kutekeleza majukumu yake ili kurahisisha utendaji kwa wananchi na serikali. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, alipokuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA MWANZA NA SINGIDA AZINDUA KIVUKO CHA MV.TEMESA NA KUKAGUA DARAJA LA MBUTU

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara ya kikazi Jijini Mwanza ambapo leo amezindua kivuko cha MV.TEMESA kitakachofanya safari zake kutokea Luchele kupitia mwambao wa ziwa Victoria. Kivuko hiki kimetengenezwa/kimejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 640 na ni kivuko pekee chenye mwedo kasi kuliko vyote Tanzania, kina uwezo wa kubeba tani 65. Wengine walioshiriki katika uzinduzi huo ni Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi), Mhandisi Evarist Ndikilo...

 

5 years ago

Michuzi

KAMWELWE AWANOA TEMESA NA TANROADS

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, amewaagiza Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), kuhakikisha kuwa magari yote ya Serikali yanayotengenezwa katika karakana zao hayaibui matatizo  na kuzua malamiko kwa mshitiri mara baada ya kutengenezwa.Kamwelwe ametaja malalamiko hayo kuwa ni TEMESA  kutotengeneza  magari kwa umakini pamoja na gharama za matengenezo kuwa kubwa ukilinganisha na watoaji  wengine wa huduma za  matengenezo na ufundi wa mitambo. 
Kamwelwe ametoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askari wa Temesa watupiwa lawama

LICHA ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kuruhusu upigaji picha katika eneo la kivuko na ndani, askari wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) wameendelea kukataza na kuwachukulia hatua...

 

11 years ago

Habarileo

Meneja wa Temesa kupewa barua ya onyo

KIKAO cha Bodi ya Barabara mkoani Mwanza kimeazimia kumwandikia barua ya onyo Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) Mkoa wa Mwanza, Amon Senkoro kwa madai ya kudharau kutekeleza maagizo yaliyotolewa na kikao kilichofanyika Machi 21, mwaka huu.

 

9 years ago

TheCitizen

Sh9bn new ferries coming, Temesa reveals

The government is planning to spend over Sh9 billion on three new ferries to ease commuting in Dar es Salaam (Magogoni), Mwanza and Pangani, it was revealed yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

TEMESA YATAKIWA KULIKABILI SOKO LA USHINDANI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kutangaza huduma wanazozitoa kwa wananchi ili jamii iweze kunufaika na huduma hizo kwa wakati na  gharama nafuu.
Akizungumza na Menejimenti ya TEMESA jijini Dar es salaam leo, Eng. Iyombe amesisitiza Wakala huo kuwa na wafanyakazi wenye weledi, waliokabidhiwa mamlaka kamili na wabunifu ili kuhuisha huduma zinazotolewa kwa wananchi na kujiongezea mapato.
“Hakikisheni mnatumia...

 

10 years ago

StarTV

Umaskini watumishi wa TEMESA wachangia wizi wa mafuta.

Na Rogers Wilium,

Mwanza.

 

 

 

Waziri wa Ujenzi Dokta John Magufuli amesema umaskini miongoni mwa watumishi wa wakala wa ufundi na umeme TEMESA unawafanya kuwa wezi wa mafuta ya feri na fedha za ushuru nchini.

 

Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri Magufuli kuzindua mfumo wa kielekriniki wa ukatishaji tikiti katika Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza mfumo ambapo umeongeza mapato kwa zaidi ya asilimia 40.

 

Moja ya vivuko vikongwe nchini Tanzania ni Kivuko cha Kigongo Busisi mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA

* Atoa onyo kwa Mtendaji Mkuu wa TEMESA* Taasisi za Serikali zapewa miezi miwili kulipa deni la sh. bil 25

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 780 zinazotokana na zabuni.
Vile vile, Waziri Mkuu ametoa muda wa miezi miwili kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na TEMESA kiasi cha sh. bilioni 25.88 ziwe zimeshalipa na iwapo kuna taasisi itashindwa kulipa deni lake hadi Julai 30,...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNDI SANIFU (TEMESA) WAFUNDWA KUHUSU USIMAMIZI NA UKAGUZI WA MAZINGIRA, MOROGORO

Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (NEMC), Eng. Ignance Mchallo akielezea kuhusu Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 kwa mafundi sanifu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA. Mafundi Sanifu wakifanya tathmini na ukaguzi wa mazingira katika karakana ya TEMESA mjini Morogoro wakati wakiwa katika mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira. Ofisa Manunuzi wa Wizara ya Ujenzi, Bw. Shukuru Sikunjema akipokea cheti kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani