Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMWELWE AWANOA TEMESA NA TANROADS

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, amewaagiza Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), kuhakikisha kuwa magari yote ya Serikali yanayotengenezwa katika karakana zao hayaibui matatizo  na kuzua malamiko kwa mshitiri mara baada ya kutengenezwa.Kamwelwe ametaja malalamiko hayo kuwa ni TEMESA  kutotengeneza  magari kwa umakini pamoja na gharama za matengenezo kuwa kubwa ukilinganisha na watoaji  wengine wa huduma za  matengenezo na ufundi wa mitambo. 
Kamwelwe ametoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AWAAGIZA MAMENEJA WA TANROADS KUIMARISHA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU KATIKA MAENEO YAO


Charles James, Globu ya Jamii

KUTOKANA na mvua kali ambazo zinaendelea kunyeesha katika maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewaagiza mameneja wote wa TANROADS nchini kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja kwenye maeneo yao.

Agizo hilo pia limeenda kwa Mamlaka za hali ya news nchini kuhakikisha wanatoa taarifa za hali ya hewa hususani za mvua mara kwa mara kwa wananchi.

Waziri Kamwelwe pia ametoa wito kwa wananchi wote kuchukua...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye awanoa vijana

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick SumayeWAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka, lakini pia wanaoamini watakuwa suluhisho ya kero nyingi walizonazo wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtanzania awanoa mafundi Zesco

SHIRIKA la Umeme la Zambia (Zesco), limeanza kutumia teknolojia ya kufanya ukarabati wa njia za umeme bila kuzima baada ya wafanyakazi wake kuhitimu mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na mtaalamu kutoka Tanzania,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi wa Rais Gabon awanoa walimu wa Taekwondo Arusha

ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo, Jin Yung Kim, ameanza kuwanoa walimu wa mchezo wa taekwondo mjini Arusha katika mafunzo yaliyoanza juzi. Awali Shirikisho la...

 

5 years ago

Michuzi

KAMWELWE ATAKA MPANGO KAZI DARAJA LA KIYEGEYA


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (Wa Nne kushoto), akielekea kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mchepuko na maandalizi ya ujenzi wa daraja katika eneo la Kiyegeya,
mkoani Morogoro. Daraja hilo lilikatika tarehe 2 Machi mwaka huu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akisisitiza jambo kwa wahandisi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakati akikagua maendeleo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Temesa imezubaa: Magufuli

WAKALA wa Ufundi na Umeme (Temesa) umetakiwa kuongeza kasi katika kutekeleza majukumu yake ili kurahisisha utendaji kwa wananchi na serikali. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, alipokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING: ANGA LA TANZANIA SASA RASMI KUTUMIKA - WAZIRI MHANDISI KAMWELWE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), alipokutana nao kutoa taarifa ya kuruhusu anga la Tanzania kutumika kwa ndege za abiria, biashara na mizigo, jijini Dodoma leo. 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, Mhandisi Julius Ndyamukana (kulia), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MFUMO WA TIKETI MTANDAO LEO JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amezindua majaribio ya awali ya mfumo wa ukataji tiketi za mabasi kwa njia ya mtandao nchini utakao simamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Aridhini (LATRA) .Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe 
Waziri Kamwelwe amezindua mfumo huo jijini Dar Es salaam ambapo amesema kuwa mfumo huo uliotengenezwa na Kituo cha Taifa cha Kutunza Taarifa (NIDC) utasaidia kupunguza msongamano katika vituo na kurahisisha huduma ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askari wa Temesa watupiwa lawama

LICHA ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kuruhusu upigaji picha katika eneo la kivuko na ndani, askari wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) wameendelea kukataza na kuwachukulia hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani