Mlinzi wa Rais Gabon awanoa walimu wa Taekwondo Arusha
ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo, Jin Yung Kim, ameanza kuwanoa walimu wa mchezo wa taekwondo mjini Arusha katika mafunzo yaliyoanza juzi. Awali Shirikisho la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Rais wa Gabon aishtumu Ufaransa
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Rais wa Gabon atoa urithi kwa umma
Na Mwandishi Wetu, Mashirika ya Habari
RAIS wa Gabon, Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa sehemu kubwa ya urithi alioachiwa na marehemu baba yake, Omar Bongo kwa vijana wa taifa hilo.
“Kwa macho yangu, sote tu warithi wa Omar Bongo,” Rais alisema wakati akilihutubia taifa jana ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa nchi hiyo.
Kiasi rasmi cha urithi wa baba yake ambaye alitawala taifa hilo kwa miaka 41 hadi alipofia madarakani mwaka 2009, bado hakijajulikana, lakini ameripotiwa...
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Rais wa Gabon ametoa urithi wake kwa umma
9 years ago
Bongo501 Oct
Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
UWT mkoani Arusha yawakataa walimu
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha umetangaza kuwakataa walimu kusimamia uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Aidha umewanyooshea kidole baadhi ya askari kwa kuwa na mapenzi yaliyopitiliza dhidi ya wanasiasa, hali inayosababisha washindwe kutenda haki katika maamuzi mbalimbali.
Msimamo huo ulitangazwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa UWT mkoani humo, Flora Zelote, alipokuwa akizungumza katika kata mbalimbali za Wilaya ya Arusha kwenye ziara ya kukagua...
9 years ago
MichuziWALIMU ARUSHA WAIDAI SERIKALI BILIONI 4
Na Woinde Shizza,ArushaCHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha CWT wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya billioni 4 kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea walimu...
10 years ago
Habarileo17 May
Sumaye awanoa vijana
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka, lakini pia wanaoamini watakuwa suluhisho ya kero nyingi walizonazo wananchi.
11 years ago
Habarileo27 Jan
Baraza la Madiwani Arusha lawavaa walimu wakuu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha jana lilikuja juu na kutaka kauli kutolewa juu ya ni hatua gani zichukuliwe kuhusu walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wanaowachangisha wazazi fedha kabla ya mtoto kuanza darasa la kwanza na wanaojiunga kidato cha kwanza.
10 years ago
Habarileo19 Apr
UWT Arusha wawakataa walimu uchaguzi mkuu
JUMUIYA ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha, imetangaza wazi kuwakataa walimu kusimamia uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais, kutokana na tabia ya kufanya hujuma kwa chama hicho wakati wanasaidiwa mambo mengi ya msingi na serikali ya CCM.