Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Gabon atoa urithi kwa umma

Gabon-Ali-Bongo-OndimbaNa Mwandishi Wetu, Mashirika ya Habari

RAIS wa Gabon, Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa sehemu kubwa ya urithi alioachiwa na marehemu baba yake, Omar Bongo kwa vijana wa taifa hilo.

“Kwa macho yangu, sote tu warithi wa Omar Bongo,” Rais alisema wakati akilihutubia taifa jana ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Kiasi rasmi cha urithi wa baba yake ambaye alitawala taifa hilo kwa miaka 41 hadi alipofia madarakani mwaka 2009, bado hakijajulikana, lakini ameripotiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Gabon ametoa urithi wake kwa umma

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa urithi wake wote kwa vijana nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII INAYOPOTOSHA UMMA

Na Mwandishi Wetu
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Trafic), Mohamed Mpinga (pichani), ametoa onyo kwa  baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi na kuthibitika kama zina ukweli ndani yake.
Kamanda Mpinga, ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la baadhi ya mitando kusambaza taarifa kuwa kulikuwa na basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali.
Alisema, onyo hilo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Gabon aishtumu Ufaransa

Rais wa Gabon Ali Bongo amesema kuwa kukamatwa kwa mkuu wa majeshi mjini Paris mnamo mwezi Agosti ni jaribio la kuifedhehesha Gabon.

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA KWA NIABA YA RAIS


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani kwa Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,Dayosisi ya Dar Es Salaam kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni kilele cha siku tatu za shukrani kwa Mungu baada ya maambukizi ya virus vya corona kupungua nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani