KAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII INAYOPOTOSHA UMMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-lXcUHSzyzfg/VKuK7NdhFqI/AAAAAAAG7nk/7NiUhcVy178/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-01-06%2Bat%2B10.11.09%2BAM.png)
Na Mwandishi Wetu
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Trafic), Mohamed Mpinga (pichani), ametoa onyo kwa baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi na kuthibitika kama zina ukweli ndani yake.
Kamanda Mpinga, ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la baadhi ya mitando kusambaza taarifa kuwa kulikuwa na basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali.
Alisema, onyo hilo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani (Trafic), Mohamed Mpinga , ameonya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi na kuthibitika kama zina ukweli ndani yake.
Kamanda Mpinga, alisema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la baadhi ya mitando kusambaza taarifa kuwa kulikuwa na basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali.
Alisema,...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-nVd6D5O3TK4/VFpxCgJnpQI/AAAAAAAGvqE/ulDVmljibuc/s1600/1415213231614_Screenshots.png)
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii
10 years ago
GPLKAMANDA MPINGA ATOA NENO MGOMO MADEREVA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dv9nM2pveqY/VgsLQ8R4P1I/AAAAAAAH7xw/caOlPqx-0Eo/s72-c/download.jpg)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-dv9nM2pveqY/VgsLQ8R4P1I/AAAAAAAH7xw/caOlPqx-0Eo/s1600/download.jpg)
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano
Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.
Washiriki wakimsikiliza...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
MSEMAJI WA SERIKALI: Wamiliki wa Blog/mitandao ya kijamii zingatieni maadili ya upashaji habari za Uchaguzi Mkuu Okt 25
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (mwenye suti nyeusi aliyesimama-kulia) akisikiliza kwa makini mawazo na maoni yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (kushoto) akisikiliza kwa makini maoni yaliyokuwa yakitolewa na Umoja wa Bloggers Tanzania (TBN), Kulia kwake ni Afisa wa Idara hiyo.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM]...
10 years ago
MichuziMKURUGENZI MTENDAJI WA 8020 FASHIONS SHAMIM MWASHA ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA MANUFAA KWENYE SEMINA YATAASISI YA MANJANO
10 years ago
MichuziKAMANDA MPINGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YA SOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)