Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Gabon ametoa urithi wake kwa umma

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa urithi wake wote kwa vijana nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Rais wa Gabon atoa urithi kwa umma

Gabon-Ali-Bongo-OndimbaNa Mwandishi Wetu, Mashirika ya Habari

RAIS wa Gabon, Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa sehemu kubwa ya urithi alioachiwa na marehemu baba yake, Omar Bongo kwa vijana wa taifa hilo.

“Kwa macho yangu, sote tu warithi wa Omar Bongo,” Rais alisema wakati akilihutubia taifa jana ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Kiasi rasmi cha urithi wa baba yake ambaye alitawala taifa hilo kwa miaka 41 hadi alipofia madarakani mwaka 2009, bado hakijajulikana, lakini ameripotiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ludacris amchumbia girlfriend wake raia wa Gabon kwa ‘style’

Hatimaye rapper Ludacris amemchumbia girlfriend wake wa miaka minne, Eudoxie Fabiola Agnan. Kufanya hivyo, rapper huyo alichukua ndege binafsi hadi Costa Rica akiwa na watu wake wa karibu akiwemo binamu yake Monica na mumewe Shannon Brown. Wakati ndege hiyo ipo juu ya uwanja wa mkubwa, Eudoxie aliangalia chini na kuona maneno: Eudoxie, Will You Marry […]

 

9 years ago

Bongo5

David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...

 

10 years ago

GPL

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon. Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.…

 

10 years ago

Vijimambo

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA FAB MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon.
Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.
Ludacris na Eudoxie Fabiola wakiwa katika picha ya pamoja.
Mke wa Ludacris raia wa Gabon akiwa katika pozi siku yake ya harusi.
MWANAMUZIKI na mwigizaji Ludacris (37) sasa ni mume wa mtu, alifunga ndoa kwa siri katika msimu wa Sikukuu za Krismasi mwaka jana. Jumanne ya wiki hii wanandoa hao wameshare...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AMUAGA MPAMBE WAKE ALIYEMALIZA MUDA WAKE KATIKA UTUMISHI WA UMMA

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa kwanza kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa pili kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa tatu kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa kwanza kulia)...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Gabon aishtumu Ufaransa

Rais wa Gabon Ali Bongo amesema kuwa kukamatwa kwa mkuu wa majeshi mjini Paris mnamo mwezi Agosti ni jaribio la kuifedhehesha Gabon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani