Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBACHAWENE AMUAGA MPAMBE WAKE ALIYEMALIZA MUDA WAKE KATIKA UTUMISHI WA UMMA

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa kwanza kushoto) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa pili kushoto) aliyemaliza muda wake katika Utumishi wa Umma, tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma leo. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa tatu kulia) akimuaga aliyekuwa mpambe wake (ADC) Mathias Stephano (Wa kwanza kulia)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Membe Amuaga Balozi wa Australia Nchini Tanzania aliyemaliza muda wake

Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juzi ameagana na Mhe.Geoffrey Tooth Balozi wa Australia nchini Tanzania ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Katika mazungumzo yao. Waziri Membe alimueleza Balozi Tooth kuwa wakati wa kipindi chake cha uwakilishi, uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika. Mhe. Membe pia amemshukuiru Balozi Tooth kwa ushirikiano mzuri alioutoa katika kipindi chote na kusisitiza kuwa Tanzania ni nyumbani kwake...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA BURUNDI AFARIKI DUNIA

  Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kutokana na shambulio la moyo, kwa mujibu wa taarifa ya serikali. Nkurunziza ambaye alikuwa anamaliza muda wake wa urais amefariki katika hospitali ya Karusi alipokuwa amelazwa jana.

Kulingana na msemaji wa serikali, balozi Willy Nyamitwe, Rais Pierre Nkurunziza amefariki kwa mshtuko wa moyo kinyume na uvumi unaoenezwa.

Serikali ya Burundi imetangaza siku saba za maombolezi na anatuma risala za ramirambi kwa familia.

Rais Pierre Nkurunziza...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi waAlgeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar esSalaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada yakumaliza muda wake wa kazi nchini.PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Mahenge akutana na Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini

Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini Bw.Marcel Escure (pili kushoto), akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge, alipokwenda kumuaga ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam na kumtambulisha kuu wa mahusiano mpya bwana Philippe Boncour wa (tatu kushoto) atakayekuwepo hapa Nchini . Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Algeria aliyemaliza muda wake awatakia Watanzania mwaka wa utulivu

aa2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,  Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.(PICHA NA IKULU).

Balozi wa Algeria ambaye aliyemaliza muda wake wa utumishi katika Tanzania, Mheshimiwa Tabat Jallouh amewatakia Watanzania mwaka wa mafanikio, amani na utulivu wa 2015, kwa kadri nchi inavyopitia katika mabadiliko makubwa ya kisiasa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS Kikwete AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI ALIYEMALIZA MUDA WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI KATA YA KIBAMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE ATAJA SIRI 14 YA KUFANIKIWA KWAKE

Diwani wa Kata ya Kibamba aliyemaliza muda wake wa miaka mitano tangu kupitia tiketi ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ernest Mgawe kushoto akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kata wa chama hicho ripoti maalumu ya utekelezaji wa majukumu mbali mbali ambayo aliyafanay wakati wa uongozi wake kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2015/2020 katika halfa ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbali mbali.(Picha na Victor Masangu).
 Diwani wa kata ya Kibamba ambaye amemaliza muda wake kupitia tiketi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015. Balozi Okada alifika ofisini kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika Ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu amuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza mbele ya Mabalozi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Sinikka Antila. Katika hotuba yake Balozi Mulamula alimshukuru Balozi Antila kwa mchango wake wa  kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Finland. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani