Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Ludacris amchumbia girlfriend wake raia wa Gabon kwa ‘style’

Hatimaye rapper Ludacris amemchumbia girlfriend wake wa miaka minne, Eudoxie Fabiola Agnan. Kufanya hivyo, rapper huyo alichukua ndege binafsi hadi Costa Rica akiwa na watu wake wa karibu akiwemo binamu yake Monica na mumewe Shannon Brown. Wakati ndege hiyo ipo juu ya uwanja wa mkubwa, Eudoxie aliangalia chini na kuona maneno: Eudoxie, Will You Marry […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Ludacris afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Gabon siku hiyo hiyo aliyomchumbia

Ludacris sasa ni mume wa mtu. Rapper huyo na muigizaji mwenye miaka 37, Jumanne ya wiki hii ameshare picha za harusi yake na mpenzi wake wa muda mrefu Eudoxie Mbouguiengue ambaye ni raia wa Gabon. Katika picha hiyo Christopher Brian Bridges a.k.a Ludacris aliandika “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges”. Mke wake naye […]

 

10 years ago

GPL

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon. Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.…

 

10 years ago

Vijimambo

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA FAB MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon.
Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.
Ludacris na Eudoxie Fabiola wakiwa katika picha ya pamoja.
Mke wa Ludacris raia wa Gabon akiwa katika pozi siku yake ya harusi.
MWANAMUZIKI na mwigizaji Ludacris (37) sasa ni mume wa mtu, alifunga ndoa kwa siri katika msimu wa Sikukuu za Krismasi mwaka jana. Jumanne ya wiki hii wanandoa hao wameshare...

 

9 years ago

Bongo5

Rick Ross amchumbia girlfriend wake Lira Mercer

Rapper na Boss wa MMG, Rick Ross amemchumbia girlfriend wake aitwaye Lira Mercer. Mchumba wake huyo ambaye pia anafahamika kwa jina la Lira Galore, ameshare habari za uchumba wao kupitia Snapchat akionesha pete aliyovishwa na Rozay na kuandika “YES!”, “When it’s REAL, you just know.” Pia alishare kupitia Twitter. 💕💍 pic.twitter.com/YRPApzbdqM — Lira Mercer (@Lira_Galore) […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Meek Mill amchumbia Nicki Minaj

12276932_1722929857930146_52455195_n

“Ntalalalala..you may now kiss the bride! Huenda muda si mrefu Meek Mill na Nicki Minaj wakawa wanachama wapya wa ndoa.

12353300_145621579135428_1770954360_n
Nicki Minaj akionesha pete aliyovishwa na Meek Mill

Picha za Instagram za Nicki Minaj zinaonesha kuwa rapper huyo amechumbiwa na mpenzi wake, Meek.

“Now this is what I’m talking about baby. Lol. Love u @meekmill,” ameandika Nicki kwenye picha ya mkono wake unaonesha pete ya uchumba kwenye kidole chake cha chanda.

“This stone is flawless. (My voice) lol,” ameandika kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Gabon ametoa urithi wake kwa umma

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa urithi wake wote kwa vijana nchini humo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wolper Awakuna Wengi kwa ‘Style’ Hii ya Aina Yake

Staa wa Bongo Movies  ambaye anasifika kwa urembo na kazi zake, Jacqueline Wolper hivi juzi kati kwenye ukurasa wake  mtandaoni alibandika picha hizo hapo juu akiwa amevalia style ambayo iliwafanya mashabiki wengi bonyeze kitufe cha LIKE na kushusha comment nyingi huku kila mtu akielezea ni jinsi gani ameguswa na mtindo huo aliotupia.

Kwa maneno ya lugha yta malkia, Wolper aliandika “Fashion is just another accessory for someone with great style...” na kuweka picha hizo.

Japo wengi...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Kutana na Zuwena na Erick Kutoka kwenye Movie ya Girlfriend

Ni zaidi ya miaka kumi imepita toka movie ya Girlfriend kutoka, itabaki kuwa ni moja kati ya movie aliyoleta hamasa kubwa kwa wadau kuingia kwenye utengenezaji wa filamu zakibongo,leo hii tasnia ya filamu imekua na filamu kibao zimeshatoka lakini wengi wanasema kuwa movie ya Girlfriend  kwao ndio bora zaidi kwa movie za kibongo.

Wewe je unaikumbuka hii? Nani alikufurahisha zaidi?  Karibu tukumbushane

 

9 years ago

Bongo5

Omarion na girlfriend wake wanatarajia kupata mtoto wa pili

Mwimbaji wa R&B wa Marekani ambaye ni baba wa mtoto mmoja, Omarion na girlfriend wake wa muda mrefu aitwaye Apryl Jones wanajiandaa kumpokea mtoto wao wa pili. Mwimbaji huyo wa ‘Post to Be’ ametumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kushare na mashabiki wake kuwa girlfriend wake ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wa kike. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani