UWT mkoani Arusha yawakataa walimu
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha umetangaza kuwakataa walimu kusimamia uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Aidha umewanyooshea kidole baadhi ya askari kwa kuwa na mapenzi yaliyopitiliza dhidi ya wanasiasa, hali inayosababisha washindwe kutenda haki katika maamuzi mbalimbali.
Msimamo huo ulitangazwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa UWT mkoani humo, Flora Zelote, alipokuwa akizungumza katika kata mbalimbali za Wilaya ya Arusha kwenye ziara ya kukagua...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Apr
UWT Arusha wawakataa walimu uchaguzi mkuu
JUMUIYA ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha, imetangaza wazi kuwakataa walimu kusimamia uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais, kutokana na tabia ya kufanya hujuma kwa chama hicho wakati wanasaidiwa mambo mengi ya msingi na serikali ya CCM.
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Mwenyekiti UWT Arusha ahamia Chadema
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...
9 years ago
MichuziWAZIRI MAHIGA MKOANI KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia leo Jumamosi tarehe 19 Desemba 2015.Atakapokuwa mkoani Arusha, Balozi Mahiga atafanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dkt. Richard Sezibera. Mazungumzo yao yatahusu namna ya kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Burundi.Aidha, Mhe. Waziri atatembelea eneo la Lakilaki ambalo limetengwa na...
9 years ago
MichuziWALIMU ARUSHA WAIDAI SERIKALI BILIONI 4
Na Woinde Shizza,ArushaCHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha CWT wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya billioni 4 kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea walimu...
11 years ago
Habarileo27 Jan
Baraza la Madiwani Arusha lawavaa walimu wakuu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha jana lilikuja juu na kutaka kauli kutolewa juu ya ni hatua gani zichukuliwe kuhusu walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wanaowachangisha wazazi fedha kabla ya mtoto kuanza darasa la kwanza na wanaojiunga kidato cha kwanza.
10 years ago
BBCSwahili21 Dec
Somalia yawakataa wanajeshi wa S.Leone
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Saudia yawakataa mayaya wa Uganda
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mlinzi wa Rais Gabon awanoa walimu wa Taekwondo Arusha
ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo, Jin Yung Kim, ameanza kuwanoa walimu wa mchezo wa taekwondo mjini Arusha katika mafunzo yaliyoanza juzi. Awali Shirikisho la...