Sumaye awanoa vijana
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka, lakini pia wanaoamini watakuwa suluhisho ya kero nyingi walizonazo wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Nov
Sumaye awaasa vijana
Na Mwandishi wetu
WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.
Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.
Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.
“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Sumaye awapa ushauri vijana
WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao. Sumaye alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Sumaye aasa vijana kulinda amani
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewataka vijana kote nchini kuwa mstari wa mbele kulinda amani, usalama na utulivu wa nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kukemea siasa za chuki kwani mfumo uliopo ni mfumo wa vyama vingi, hivyo kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake.
5 years ago
MichuziKAMWELWE AWANOA TEMESA NA TANROADS
Kamwelwe ametoa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Mtanzania awanoa mafundi Zesco
SHIRIKA la Umeme la Zambia (Zesco), limeanza kutumia teknolojia ya kufanya ukarabati wa njia za umeme bila kuzima baada ya wafanyakazi wake kuhitimu mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na mtaalamu kutoka Tanzania,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Mlinzi wa Rais Gabon awanoa walimu wa Taekwondo Arusha
ALIYEWAHI kuwa mlinzi wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo, Jin Yung Kim, ameanza kuwanoa walimu wa mchezo wa taekwondo mjini Arusha katika mafunzo yaliyoanza juzi. Awali Shirikisho la...
10 years ago
MichuziElimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawafikia Vijana wa Mbeya Vijijini
Vijana wa Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini wametakiwa kutokuwa na tafsiri hasi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kuwa ni takrima inayotolewa na serikali kwa vijana hivyo kuchezea fedha hizo na kushindwa kurejesha mkopo watakaouomba kupitia mfuko huo.
Hayo yamesemwa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wakati wa semina iliyotolewa kwa Vijana wa Mbeya Vijijini kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Stadi za...
10 years ago
MichuziVijana Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wajiajiri kupitia mfuko wa mendeleo ya Vijana
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA VIJANA MKOANI MBEYA WAKATI WA KUAZIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI
Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya. Maandamano kuelekea katika Ukumbi ambapo vijana wanakutana kwa ajili ya Sherehe yao. Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya Vijana Mwadawa Mbando...