Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye awapa ushauri vijana

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao. Sumaye alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto awapa ushauri wasanii wanaotegemea show

Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amewataka wasanii wenzie kuacha kutegemea show pekee na kujitengenezea njia nyingine za kujipatia kipato. Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda. Akizungumza na Bongo5 jana, Mpoto amesema kuwa wasanii wanaHitaji kutafuta elimu ya jinsi ya kutumia brand zao. “Wasanii wanahitaji kutafuta wasomi ili wajue jinsi ya kutumia […]

 

10 years ago

Michuzi

MIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA , DC MBONI AWAPA USHAURI TBS KUKAGUA UBORA WA VYOMBO VYA USAFIRI

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita  kushoto  akiwa na wajumbe wa kamati ya  ulinzi na usalama wilaya hiyo ya  Mufindi  katika  kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya  MufindiBaadhi ya  ndugu  wakichukua mwili wa ndugu  yao baada ya  kuutambua
Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto)  akimfariji  mmoja kati ya  majeruhi wa ajali ya  basi la Another G na lori  iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana  ,wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana wapewa ushauri wa kibiashara

VIJANA wa Tanzania wametakiwa kuwekeza katika mikoa mbalimbali hususani Lindi na Mtwara ili kuepusha msongamano katika jiji la Dar es Salaam. Hayo yamezungumzwa jana na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye awanoa vijana

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick SumayeWAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka, lakini pia wanaoamini watakuwa suluhisho ya kero nyingi walizonazo wananchi.

 

9 years ago

GPL

NIKKI WA PILI AWAPA SOMO VIJANA

Nyota wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’. NYOTA wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameibuka na kuwapa somo vijana kwamba wanatakiwa kutumia changamoto wanazopitia katika maisha na kuwa mafanikio kuliko kukaa na kulaumu. kipiga stori na Risasi Vibes, Nikki wa Pili anayebamba na Ngoma ya Baba Swalehe alisema, vijana wengi wamekuwa na dhana kwamba...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally  ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kufikia kufanywa vitendo visivyo faa.

“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Joel Bendera awapa somo askari vijana

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka askari vijana nchini kutumia muda wao kubuni njia rahisi ya kukuza uchumi kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao badala ya kufanya uovu....

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti Mtopa wa CCM awapa somo vijana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Lindi Ali Mtopa amewataka vijana wa chama hicho kuwaambia wananchi ukweli kwamba serikali ya chama hicho imeweka mazingira mazuri ya miundombinu ambayo yamewezesha wananchi wa mji wa Lindi kupata huduma za maji na barabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani